Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi wanavyopangilia mambo yao na mikakati yao mikubwa kwa ukombozi wa Taifa ni muhim sana kuwa na vyama mbadala vyenye nguvu kwa mustakabali wa Taifa letu siasa in uadui wala ugomvi
Kwa speech ile ya Mbowe?
Upinzani bongo utangoja sanaaa...!
Umeambiwa speech ndo inachukua nchi?
Nimeuliza speech ndo inachukua nchi? Halafu jaribu kuwa unafanya masahihisho ya ulicho andika kabla ya kupost..Mbowe hanasela nasiasa zake za kibabe,anashindwa kutuambia walikubaliana kipi na jk anahimiza watu kuvunjasheria.
dola gani?