happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio.
Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu salama ya kuishi.
Kwa bahati mbaya chama cha chadema (zamani CHADEPA) wao wamesimama kutetea majambazi. Serikali inalinda raia na mali zao wao Chadema wanatetea majambazi kisa wengi ni ndugu zao na wanakula nao walivyochuma.
Chadema imepoteza dira na uelekeo kimekuwa chama cha kutetea wizi na ujambazi.