Kwa akili pumba kama hizi mumeo alikuwa sahihi kumtafuna [emoji536] girl wako na kuzaa naye .Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio.
Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu salama ya kuishi.
Kwa bahati mbaya chama cha chadema (zamani CHADEPA) wao wamesimama kutetea majambazi. Serikali inalinda raia na mali zao wao Chadema wanatetea majambazi kisa wengi ni ndugu zao na wanakula nao walivyochuma.
Chadema imepoteza dira na uelekeo kimekuwa chama cha kutetea wizi na ujambazi.
๐ฎ๐ฎ๐ฎ Pumba tupu..Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio.
Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu salama ya kuishi.
Kwa bahati mbaya chama cha chadema (zamani CHADEPA) wao wamesimama kutetea majambazi. Serikali inalinda raia na mali zao wao Chadema wanatetea majambazi kisa wengi ni ndugu zao na wanakula nao walivyochuma.
Chadema imepoteza dira na uelekeo kimekuwa chama cha kutetea wizi na ujambazi.
Huu ndio umakini wa ccm na utohara wake?Lema ni jobless mbona hajawa jambazi?
Msigwa ni jobless mbona hajawa jambazi?
Ujambazi ni tabia za mtu na mara nyingi ni damu iliyo kwenye ukoo, CCM ni chama makini hakijawai kutengeneza majambazi.
Alikusaliti ni nini?Lissu ni msaliti na history itamkumbuka hivyo... yeye aendelee kutetea wezi na vibaka