Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
Nguvu ya Chadema iko kwa wananchi wenyewe, msimamo wake na misimamo ya viongozi wake, wanajiamini, hawaogopi kufa, hawana tamaa ya vyeo.
Ushahidi upo, walikataa ruzuku ya masimango ingawa ni haki yao, Mkiti wao Lissu angekuwa na tamaa leo angekuwa huru na kujengewa nyumba Ubelgiji, waliposema "No Reforms No Election" walimaanisha, hawakujali chama kitakosa Wabunge wala ruzuku.
Madhila wanayopata Chadema very soon yanakwenda kwisha, kesi zitakwisha, Lissu ataachiwa huru na waliopanga njama za kukiumiza chama wote watawajibika.
Chadema kinakwenda kuwa chama tawala, CCM inaenda kuwa kama NP (National Party) cha makaburu kilicho na rasilimali nyingi bila dola, ACT - Wazalendo third party kama EFF ya Malema.