Chadema kinakwenda kuwa chama tawala, CCM inaenda kuwa kama NP (National Party) cha makaburu kilicho na rasilimali nyingi bila dola, ACT - Wazalendo third party kama EFF ya Malema.Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
Nguvu ya Chadema iko kwa wananchi wenyewe, msimamo wake na misimamo ya viongozi wake, wanajiamini, hawaogopi kufa, hawana tamaa ya vyeo.
Ushahidi upo, walikataa ruzuku ya masimango ingawa ni haki yao, Mkiti wao Lissu angekuwa na tamaa leo angekuwa huru na kujengewa nyumba Ubelgiji, waliposema "No Reforms No Election" walimaanisha, hawakujali chama kitakosa Wabunge na ruzuku.
Madhila wanayopata Chadema very soon yanakwenda kwisha, kesi zitakwisha, Lissu ataachiwa huru na waliopanga njama za kukiumiza chama wote watawajibika.
Chadema kinakwenda kuwa chama tawala, CCM inaenda kuwa kama NP (National Party) cha makaburu kilicho na rasilimali nyingi bila dola, ACT - Wazalendo third party kama EFF ya Malema.
Chadema ya zamani au hii Mpya?Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
😀😀Chadema kinakwenda kuwa chama tawala, CCM inaenda kuwa kama NP (National Party) cha makaburu kilicho na rasilimali nyingi bila dola, ACT - Wazalendo third party kama EFF ya Malema.
hata mimi ningetamani upinzani ushike nchi. ila ni ndoto za mchana kwa cdm kushika dola. hakina organization nzuri, vijana wengi wa cdm siyo intelligent ni wavuta bangi na vijana waliokata tamaa. pia cdm kukabidhiwa nchi ni wazi bado hakijajiandaa kwa sababu kinajua ni jambo lisilowezekana.Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
Nguvu ya Chadema iko kwa wananchi wenyewe, msimamo wake na misimamo ya viongozi wake, wanajiamini, hawaogopi kufa, hawana tamaa ya vyeo.
Ushahidi upo, walikataa ruzuku ya masimango ingawa ni haki yao, Mkiti wao Lissu angekuwa na tamaa leo angekuwa huru na kujengewa nyumba Ubelgiji, waliposema "No Reforms No Election" walimaanisha, hawakujali chama kitakosa Wabunge na ruzuku.
Madhila wanayopata Chadema very soon yanakwenda kwisha, kesi zitakwisha, Lissu ataachiwa huru na waliopanga njama za kukiumiza chama wote watawajibika.
Chadema kinakwenda kuwa chama tawala, CCM inaenda kuwa kama NP (National Party) cha makaburu kilicho na rasilimali nyingi bila dola, ACT - Wazalendo third party kama EFF ya Malema.
Nyie wapumbavu nguruwe wa kizimkazi lazima mkimbie nchi au tuwagonge risasi mchana kweupe kama Liberia.Hivi haya manyumbu huwa yanatumia kitu gani kufikiri?!!!!! Inashangaza.
Nguruwe wa kizanzibar unafikiri anayetia urais ni mamako na nguruwe wenziohata mimi ningetamani upinzani ushike nchi. ila ni ndoto za mchana kwa cdm kushika dola. hakina organization nzuri, vijana wengi wa cdm siyo intelligent ni wavuta bangi na vijana waliokata tamaa. pia cdm kukabidhiwa nchi ni wazi bado hakijajiandaa kwa sababu kinajua ni jambo lisilowezekana.
chama kutawala nchi hakuji kama makalio tu au upele. ni mikakati yenye mashiko na subira.
cdm itaishia kushika majimbo mawili au matatu tu... halafu cdm ina wafuasi wengi mitandaoni na si kwenye maisha halisi.. kwakweli ccm mitaani imejichimbia mno
wananchi hawaichukii ccm ila wanachukia viongozi wa ccm baadhi... na hao elites siyo kwamba wanai support cdm ila wanai manipulate coz wote tunajua kuwa cdm ina historia ya viongozi wake kuwa na njaa njaa na kununulika kirahisi.
kusema viongozi wa cdm hawana tamaa ya vyeo na wanapenda haki na usawa na kuhitimisha kuwa ndivyo walivyo, si sawa. kwa nini? kwa sababu hawajakabidhiwa nchi ili tuone kama wataendelea kuwa wapenda haki na usawa au sivyo. rejea mgogoro wa uhuru na ruto kenya kuhusu bei ya mafuta.
hata ccm nayo mwanzoni ilikuwa hivyo hivyo na viongozi wake walijinadi kuwa na uchungu na nchi na rasilimali zake... ona leo kiko wapi? mna kitu gani kipya ambacho ccm haijafanya nanyi mnaahidi mtafanya??
cdm kamwe haitoshika nchi hii. na hilo limeshakuwa approved na mamlaka zisizoonekana.
Tatizo lenu huwa mnaelewa kwa kuchelewa.Hivi haya manyumbu huwa yanatumia kitu gani kufikiri?!!!!! Inashangaza.
huo ndiyo ukweli. cdm ni kama chama cha kata.Nguruwe wa kizanzibar unafikiri anayetia urais ni mamako na nguruwe wenzio
CCM itakufa natural death na wala sio mbali sana.hata mimi ningetamani upinzani ushike nchi. ila ni ndoto za mchana kwa cdm kushika dola. hakina organization nzuri, vijana wengi wa cdm siyo intelligent ni wavuta bangi na vijana waliokata tamaa. pia cdm kukabidhiwa nchi ni wazi bado hakijajiandaa kwa sababu kinajua ni jambo lisilowezekana.
chama kutawala nchi hakuji kama makalio tu au upele. ni mikakati yenye mashiko na subira.
cdm itaishia kushika majimbo mawili au matatu tu... halafu cdm ina wafuasi wengi mitandaoni na si kwenye maisha halisi.. kwakweli ccm mitaani imejichimbia mno
wananchi hawaichukii ccm ila wanachukia viongozi wa ccm baadhi... na hao elites siyo kwamba wanai support cdm ila wanai manipulate coz wote tunajua kuwa cdm ina historia ya viongozi wake kuwa na njaa njaa na kununulika kirahisi.
kusema viongozi wa cdm hawana tamaa ya vyeo na wanapenda haki na usawa na kuhitimisha kuwa ndivyo walivyo, si sawa. kwa nini? kwa sababu hawajakabidhiwa nchi ili tuone kama wataendelea kuwa wapenda haki na usawa au sivyo. rejea mgogoro wa uhuru na ruto kenya kuhusu bei ya mafuta.
hata ccm nayo mwanzoni ilikuwa hivyo hivyo na viongozi wake walijinadi kuwa na uchungu na nchi na rasilimali zake... ona leo kiko wapi? mna kitu gani kipya ambacho ccm haijafanya nanyi mnaahidi mtafanya??
cdm kamwe haitoshika nchi hii. na hilo limeshakuwa approved na mamlaka zisizoonekana.
ishu ipo penye mbadala wa chama kitakachotawala baada ya ccm kufa natural deathCCM itakufa natural death na wala sio mbali sana.
Labda ishtuke kwenye kuendana na generation mpya pamoja na ukuaji wa teknolojia.
Hivi vitu viwili vitaiangusha na wala sio chama cha siasa
CCM itakufa natural death na wala sio mbali sana.
Labda ishtuke kwenye kuendana na generation mpya pamoja na ukuaji wa teknolojia.
Hivi vitu viwili vitaiangusha na wala sio chama cha siasa
Pamoja na hali ngumu ya uchumi kwa wananchi wengi. Life bongo linazidi kuwa expensive balaa, kila kitu kimepanda bei maradufu.CCM itakufa natural death na wala sio mbali sana.