CHADEMA kinakwenda kuwa chama tawala kama ANC ya Afrika Kusini

Sio mfano mzuri. ANC ni muflis na imeshindwa kuongoza kwa weledi na uzalundo nchi yake. ANC inanuka rushwa kiasi baadhi ya watu wanatamani makaburu washike tena nchi.

Amandla...
 
Hayo ndo maamzi ya kamati kuu?

Nani kawaloga? Kwa mikakati ipi mliyo nayo?

Kwa huyu huyu heche na huyu lisu? Golugwa? Lema? Sugu?

Kuweni serious basi!
Kwani Samia anamzidi nini Lissu.
 
uzi wa kindezi kweli gentleman dah 🀣
 
kila jambo huwa Lina kisababishi/sababu
 
huo ndiyo ukweli. cdm ni kama chama cha kata.
Marekani wanaheshimu CDM ndo unaona akina Makonda na Mafwele na wengine wanakuja wanafungiwa kuingia Marekani kwa maelekezo ya CDM, bado mtaona nguvu ya CDM.
 
Yaani kuongoza nchi kuna maajabu gani hadi ulete hizi porojo za kujipanga? Wanaingia viongozi wa kijeshi kwenye nchi na wanaongoza, kisha we unakuja na lugha za kujipanga? Huwa nacheka sana nikisikia wanaccm mnasema cdm haijajiandaa kushika nchi, ila unakuta hivyo vigezo ni vya kiccm!

Unasema cdm ina wafuasi mitandaoni, ila cha ajabu juzi cdm wamesusia uchaguzi, na voters turnout ikawa ya aibu. Amka mzee, zama zimebadilika.
 
Hahaha
 
Na wote tuseme Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…