mkuruga
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 193
- 154
Atimaye Jana terehe 18/10/2024 chadema Jimbo la KOROGWE wamepata viongozi baada ya uhaguzi wa kidemoxrasia kufanyika ambapo nafasi mbalimbali kugombaniwa ambapo nafasi ya mwenyekiti aligombaniwa na wagombea watatu ambazo ni kamanda John mapunda alikuwa anatetea nafasi yake Ezekiel mbwilo pamoja na kamanda abdalah mshindi wa kinyang'anyiro hicho ni mheshiwa kamanda Ezekiel mbwilo ambaye ameshinda kwa asilimia 58 dhidi ya John mapunda