At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Hio Ruzuku ni kulingana na matakwa ya sheria. Kutoa kodi ni wajibu.Michango ni ya hiari na si sawa na kuchukua kodi za wananchi zinazotakiwa kujenga mabarabara, mahospitali, n.k ili masikini hao wapate huduma za msingi kutokana na kodi wanazolipa.
Isitoshe, huu ni mwanzo tu wa kujitegeme kwa kuwa na vitega uchumi vya chama.
Aiseeee!!Hio Ruzuku ni kulingana na matakwa ya sheria. Kutoa kodi ni wajibu.
Sio kwa sababu maskini anatoa kodi. Ndio kiwe kigezo cha kutotimiza mambo fulani.
[emoji3]Aiseeee!!
Na kibaya zaidi, Bunge lenyewe limegeuka kuwa Idara ya serikali.
Ccm Bila ruzuku haimalizi mwaka... InafarikiMwangushwa konyagi na kusingizia wasiojulikana
Amefanya vizuri ingekuwa ni kete kubwa ya ccm kuwananga chademavkuwa wanachukuwa ruzuku na wabunge hawawataki, safivmno mbowe your very smart!Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini...
Huo ulikuwa ni mtego wa kisiasa wakidhani Mbowe ni kilaza watamuingiza mkenge wakasahau Mbowe ni mtoto wa mjini na wao wametoka vijijini wamemkuta teyari yuko majiji miaka mingi.Amefanya vizuri ingekuwa ni kete kubwa ya ccm kuwananga chademavkuwa wanachukuwa ruzuku na wabunge hawawataki, safivmno mbowe your very smart!
Hapo ndipo utaamini chadema ni imani hilo lilikuwa jaribu kama la Yuda achukue vipande thelasini na kuuza chama!Huo ulikuwa ni mtego wa kisiasa wakidhani Mbowe ni kilaza watamuingiza mkenge wakasahau Mbowe ni mtoto wa mjini na wao wametoka vijijini wamemkuta teyari yuko majiji miaka mingi.