CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

CHADEMA ilishawafukuza kitambo hivyo wao ndiyo wanang'ang'ania
 
Uzalendo gani kuchalangana na WANACHAMA wenzako mhimuu. Hivi hamuoni hasara kupoteza watu kama hai wabunge 19. Kunagarama kubwaa kuwapata watu mahili kama hai akina mdee Kwa sasaa, ebu chadema achaneni na mikesi mahakamani, yajengeni kwenye chama chetu yaishee. Kumbukeni hakuna mkamilifuu.
 
Usipofuta principle na utaratibu unaotakiwa, hutojenga chama. Kuna siku wengine watakengeuka wakitegemea kusamehewa. Pia tambua hilo zengwe limetengenezwa kimkakati kukimaliza CDM.
Ni afadhali chama kidhoofike kwa kufuata principle zake kuliko kudandia unafuu utakaokiteketeza mbeleni.
Unajua litakalosemwa wakiwasamehe?? Wa kwanza wewe, vimada wao hawawez kuwafanya lolote na mengine mengi
 
Chadema haitaongoza akina malaika. Bado kitakutana na changamoto lukukii. Kama mnataka kupambana Kila mtuuu, mtanyongonyea kweli na kuanza kulialia uko Kwa wazungu eti mnaonewa. Acheni hii kesi chengeni chama.
 
Kwenye hilo kundi namkubali sana Ester Bulaya, kwa upande wa kina mama she's absolutely presidential material.
Yupo serious sana.
Ukimfuatilia kwa karibu utamuona.
 
Sasa hao viongozi wa BAWACHA woote toja mikoani.
Wanaifuatilia hii kesi kila siku kwa gharama za nani?

Na ili iweje?

Kwamba hao wakitenguliwa ndio wateuliwe wao au?

Hii ni "tumbopolitics"
 
hii kesi itaisha wiki moja kabla ya Bunge kuvunjwa ili twende uchaguzi mkuu wa 2025 - cheza mbali na mfumo wa kijasusi wa CCM.
 
Hivi ni nani aliyeipeleka hii kesi mahakamani? (Nani aliyemshitaki mwenzake?) Pata kwanza majibu ya hilo swali halafu urudi kujadili.
 
Sasaa hiii mikesi yanini na huku ukijua fika hamnaa faida yoyotee
Ndugu, elewa kwamba walioipeleka hiyo kesi mahakamani ni hao Covid 19 ili kulinda ubunge wao. Hawa CHADEMA wanakwenda mahakamani kwa wito wa mahakama. Unata waigomee mahakama?
 
Kwenye hilo kundi namkubali sana Ester Bulaya, kwa upande wa kina mama she's absolutely presidential material.
Yupo serious sana.
Ukimfuatilia kwa karibu utamuona.
Wote wapo vizuri. Tatizo njaa haina adabu. Ujasiri wa kuvuka hapo hawajafikia, nikuambie kitu. Walipima upepo enzi zile za Magufuri kukaa bila ajila ya Bungeni shida, wakaona liwalo na liwe.... Hakuna aliejua kama awamu ya Magu itaisha miezi michache. Wangejua hilo wasingejiingiza kwenye kituko hiki
 
Uanachama ni chaguo la mtu sijaona fomu ya maombi ya kujiunga na chama chochote hapa kwetu Tanzania. Kama unaform ya maombi iweke hapa halafu utuoneshe na wewe ulioijaza.
Nikiuonyeshe kama nani? nenda kwenye website za vyama eg CHADEMA and CCM
 
Chadema wataachana vipi na hii kesi wao ndiyo walioshitakiwa, nadhani hujafuatilia kilichopo hapo mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…