CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

Chadema wataachana vipi na hii kesi wao ndiyo walioshitakiwa, nadhani hujafuatilia kilichopo hapo mahakamani.
Kwani wafukuze WANACHAMA halali wa CHAMA Chao. Hata kama ni wewe, zile mbwembwe na kejeli za kipindi kileee Kwa wamama waleee ungeridhika na maamuzi ya hao VIONGOZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…