Pre GE2025 CHADEMA kuanika hadharani nyaraka za Maridhiano zilizowakimbiza CCM, lengo ni kuiumbua mbele ya Umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa kawaida maridiano au usuluhishi, mara nyingi terms zake huwa ni siri mpaka pale pande zote zinazohusika zinapokuwa zimeridhia, ndiyo huwekwa public.

Sahizi zinaweza kuwekwa public ili watu wajue ni mambo gani yalizuia kuendelea. Watakuwa wamefanya vyema.
 
demu atamtishia nini njemba ambayo tayari ishammega
 
Very True
 
Mkuu anzisha chama Cha wasioogopa chochote tutakuwa pamoja.
 
Inahitajika watu wenye mawazo mapya, kwa siasa zetu tunahitaji kina mwambukusi na mdude kama elfu Moja, ccm haiwezi kutolewa madarakani mpaka wapatikane wapinzani 'vichaa' wasioogopa kitu
Maneno km haya hawapendi kuona yamekua published kwenye social media zozote,
 
Kauli hiyo Thabiti imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho John Heche, aliyekuwa pia Mjumbe wa Timu ya Chadema ya Maridhiano.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kufichaficha toka mwanzo muwe mnakaa nayo tu hata mkishindwana!

BTw: Kumbe mlikuwa mnaridhiana na CCM? Sasa mbona walikuwa wanakutana wawili tu kama wana date vile.
 
Upumbavu tuu, nyaraka mnazo siku nyingi sasa mnataka kumpa nani hizo nyaraka zenu? Kama hazina maana kwenu mlichukua za nini? Kama zina maana kwenu mnataka mzitoe za nini?
Manyumbu hovyo sana.
 
Siyo lazima mapendekezo yenu yachukuliwe. Tuna wadau wengi na tuna vyama hai 9!! Tulieni mchono
 
Haina maana yeyote,kwani chama kikiwa Kimoja Kuna shida gani? Mbona kina Mpina,Hamia etc wanakiwasha?
 
Upumbavu tuu, nyaraka mnazo siku nyingi sasa mnataka kumpa nani hizo nyaraka zenu? Kama hazina maana kwenu mlichukua za nini? Kama zina maana kwenu mnataka mzitoe za nini?
Manyumbu hovyo sana.
Kumchinja Kobe kunahitaji Timming
 
Lengo la Jambo hilo Muhimu ni kuwezesha wananchi wote kujua kila kilichozungumzwa kwenye maridhiano hayo na kupima wenyewe utapeli wa ccm, lengo lingine kabambe ni kuhakikisha Viongozi wa CCM kuanzia Mwenyekiti wao wa Taifa WANAUMBUKA MBELE YA JAMII YA WATANZANIA KWA KUKWEPA HAKI NA KUKUMBATIA DHULUMA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…