Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwa kawaida maridiano au usuluhishi, mara nyingi terms zake huwa ni siri mpaka pale pande zote zinazohusika zinapokuwa zimeridhia, ndiyo huwekwa public.Hao nao tuwashawachoka, kwanini wasingeweka wazi kuanzia kipindi kile kwani walikua wanaficha Nini Cha maana? Kua na wapinzani aina hii miaka nenda miaka Rudi ni sawa na kufanya majaribio yaleyale katika Hali ile ile alafu unategemea kupata matokeo tofauti....
Inahitajika watu wenye mawazo mapya, kwa siasa zetu tunahitaji kina mwambukusi na mdude kama elfu Moja, ccm haiwezi kutolewa madarakani mpaka wapatikane wapinzani 'vichaa' wasioogopa kitu
Sahizi zinaweza kuwekwa public ili watu wajue ni mambo gani yalizuia kuendelea. Watakuwa wamefanya vyema.