CHADEMA: Kuanzia leo Februari 11, 2026 tuko huru kutumia ofisi na mali zetu zote

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa amewatangazia wanachama wa chama hicho kuanzia leo Februari 11, 2026 wako huru kutumia rasilimali za chama hicho zikiwemo ofisi na magari, kwa kuwa sheria inawaruhusu kufanya hivyo.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu mkuu wa chama hicho leo Februari 11, Golugwa amewataka viongozi wa wanachama wote nchini kuendelea na shughuli za chama hicho ikiwamo operesheni ya CHADEMA NI WATU waliyoizindua ivi karibuni.

Tangazo hilo linakuja kufuatia zuio lililowekwa na Mahakama Kuu Juni 10, 2025 kufuatia kesi ya mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Said Issa Khamis na wenzake wawili.

Soma pia: Zuio la kufanya siasa liliisha Desemba 10

sikio la kufa halisikiagi dawa:pedroP:
 
Content creator Mr . Matipo Kuna shida gani hapo kwenye hiyo kauli?
hakuna tatizo gentleman,
twendeni mikutanoni tukasake pesa kwa kibakuli tuinue maisha ya viongozi wa chama, hakuna haja ya kuzingatia makatazo au mazuio ya kimahakama :pedroP:
 
Umesikiliza hiyo clip au ndiyo yaleyale ya kuamini kila kinachosenwa na Mzee Wassira?
 
sina muda wa kuskiza mambo ninayojua tayari gentleman,
in fact kuskiza viongozi vilaza kama hao wa chadema ni fedheha pia :NoGodNo:
 
sikio la kufa halisikiagi dawa:pedroP:
Huoni kuwa unajidhalilisha na kuuabisha utu wako? Yaani wewe chochote kilichopo kichwani mwako, unadondosha popote wakati wowote bila ya kuangalia hicho kama kichojadiliwa kina uhusiano na takataka unayoidondosha!! Loh! Hasara kubwa kwa wanafamilia wako, hasa wazazi, kama Mungu ameendelea kuwajalia uhai.
 
sina muda wa kuskiza mambo ninayojua tayari gentleman,
in fact kuskiza viongozi vilaza kama hao wa chadema ni fedheha pia :NoGodNo:

Sijui kwa nini ninyi mliopata bahati mbaya ya kukosa akili huwa mnashindwa kuyajua matatizo yenu, na kuamini kuwa ninyi punguani ndiyo mna akili timamu, na kuwaona wente akili ndiyo hawana akili! Mtu kama wewe kwa kipimo cha aina yoyote, kamwe huwezi kuwa na akili timamu.
 
mnapotoshana kwa matamko ya kilofa mno ndugu mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ndio maana mapingamizi ya vibaraka yote hupuuzwa na kutupwa mbali ila kwa kiburi cha sikio la kufa manadanganyana kufanya mikutano haramu :pedroP:
 
Huoni kuwa unajidhalilisha na kuuabisha utu wako? Yaani wewe chochote kilichopo kichwani mwako, unadondosha popote wakati wowote bila ya kuangalia hicho kama kichojadiliwa kina uhusiano na takataka unayoidondosha!! Loh! Hasara kubwa kwa wanafamilia wako, hasa wazazi, kama Mungu ameendelea kuwajalia uhai.
sasa ndugu mamaluki lofa,
chama hicho cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kilipigwa stop kufanya shughuli zake nnchini na kutumia mali za chama.
Mawakili malofa wakaweka mapingamizi nonsense kama yote na yote yamepigwa chini,

kwa kiburi na jeuri za kilofa,
eti naibu katibu mkuu anapuuza makatazo ya kisheria ya mahakama na kuamuru kazi za chama cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kianze kufanya siasa na kutumia mali za chama zenye zuio la kimahakama kutumika.

huoni hiyo ni nonsense ndugu mamaluki lofa? :pedroP:
 
Kumbe ndiyo maana Kombo anazungukazunguka huko na huyu mwingine kaalikwa kwenye sherehe za watu kaenda kuomba barabara 😆😃😃
 
Back
Top Bottom