CHADEMA: Kuanzia leo Februari 11, 2026 tuko huru kutumia ofisi na mali zetu zote

CHADEMA: Kuanzia leo Februari 11, 2026 tuko huru kutumia ofisi na mali zetu zote

mnapotoshana kwa matamko ya kilofa mno ndugu mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ndio maana mapingamizi ya vibaraka yote hupuuzwa na kutupwa mbali ila kwa kiburi cha sikio la kufa manadanganyana kufanya mikutano haramu :pedroP:
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Kumbe ndiyo maana Kombo anazungukazunguka huko na huyu mwingine kaalikwa kwenye sherehe za watu kaenda kuomba barabara 😆😃😃
kuzunguka wapi ndugu mamaluki lofa Allen Kilewella ?
huyo mwanasheria lofa kule mahakamani analalamikia pingamizi lake nonsense kutupiliwa mbali, ikimaanisha kesi ya msingi na makatazo ya msingi ya kisheria yanaendelea,

sasa haijulikani ni kitu gani kimempata,
anawashauri mazuzu wa kisheria akina amani galawa eti waendelee na shughuli za chama zilizostopishwa na mahakama.

huo ni uzuzu au ulofa gentleman? :pedroP:
 
Huoni kuwa unajidhalilisha na kuuabisha utu wako? Yaani wewe chochote kilichopo kichwani mwako, unadondosha popote wakati wowote bila ya kuangalia hicho kama kichojadiliwa kina uhusiano na takataka unayoidondosha!! Loh! Hasara kubwa kwa wanafamilia wako, hasa wazazi, kama Mungu ameendelea kuwajalia uhai.
Unafikiri huyo anaakili jitu kubwa ila kichwa lina makamasi.
 
hakuna tatizo gentleman,
twendeni mikutanoni tukasake pesa kwa kibakuli tuinue maisha ya viongozi wa chama, hakuna haja ya kuzingatia makatazo au mazuio ya kimahakama :pedroP:
Habari Yako ndugu chawa.... Leo umekula au unataabika na njaa hapo juani unaposhonea viatu na jioni uuze kahawa??
 
sikio la kufa halisikiagi dawa:pedroP:

Walio kufa ni vijana wa Kitanzania Chadema sio tu haijafa dada letu chawa Chadema ndiyo imeimarika kuliko zamani. Tunashukuru sana kwa kuimarisha Chadema tuliwaambia!
 
Walio kufa ni vijana wa Kitanzania Chadema sio tu haijafa dada letu chawa Chadema ndiyo imeimarika kuliko zamani. Tunashukuru sana kwa kuimarisha Chadema tuliwaambia!
acha porojo gentleman,
jikite kwenye hoja :NoGodNo:
 
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa amewatangazia wanachama wa chama hicho kuanzia leo Februari 11, 2026 wako huru kutumia rasilimali za chama hicho zikiwemo ofisi na magari, kwa kuwa sheria inawaruhusu kufanya hivyo.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu mkuu wa chama hicho leo Februari 11, Golugwa amewataka viongozi wa wanachama wote nchini kuendelea na shughuli za chama hicho ikiwamo operesheni ya CHADEMA NI WATU waliyoizindua ivi karibuni.

Tangazo hilo linakuja kufuatia zuio lililowekwa na Mahakama Kuu Juni 10, 2025 kufuatia kesi ya mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Said Issa Khamis na wenzake wawili.

Soma pia: Zuio la kufanya siasa liliisha Desemba 10

Mungu ibariki CHADEMA pamoja na viongozi wake wote.
 
Huoni kuwa unajidhalilisha na kuuabisha utu wako? Yaani wewe chochote kilichopo kichwani mwako, unadondosha popote wakati wowote bila ya kuangalia hicho kama kichojadiliwa kina uhusiano na takataka unayoidondosha!! Loh! Hasara kubwa kwa wanafamilia wako, hasa wazazi, kama Mungu ameendelea kuwajalia uhai.
Huyu aliambiwa karibu ccm Ila ubongo tunaukabidhi pale getini!
 
Back
Top Bottom