Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
sikio la kufa halisikiagi dawaNaibu Katibu mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa amewatangazia wanachama wa chama hicho kuanzia leo Februari 11, 2026 wako huru kutumia rasilimali za chama hicho zikiwemo ofisi na magari, kwa kuwa sheria inawaruhusu kufanya hivyo.
Akizungumza kwa niaba ya Katibu mkuu wa chama hicho leo Februari 11, Golugwa amewataka viongozi wa wanachama wote nchini kuendelea na shughuli za chama hicho ikiwamo operesheni ya CHADEMA NI WATU waliyoizindua ivi karibuni.
Tangazo hilo linakuja kufuatia zuio lililowekwa na Mahakama Kuu Juni 10, 2025 kufuatia kesi ya mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Said Issa Khamis na wenzake wawili.
Soma pia: Zuio la kufanya siasa liliisha Desemba 10
Content creator Mr . Matipo Kuna shida gani hapo kwenye hiyo kauli?sikio la kufa halisikiagi dawa
hakuna tatizo gentleman,Content creator Mr . Matipo Kuna shida gani hapo kwenye hiyo kauli?
Umesikiliza hiyo clip au ndiyo yaleyale ya kuamini kila kinachosenwa na Mzee Wassira?hakuna tatizo gentleman,
twendeni mikutanoni tukasake pesa kwa kibakuli tuinue maisha ya viongozi wa chama, hakuna haja ya kuzingatia makatazo au mazuio ya kimahakama
sina muda wa kuskiza mambo ninayojua tayari gentleman,Umesikiliza hiyo clip au ndiyo yaleyale ya kuamini kila kinachosenwa na Mzee Wassira?
Unajua nini katika hili?sina muda wa kuskiza mambo ninayojua tayari gentleman,
in fact kuskiza viongozi vilaza kama hao wa chadema ni fedheha pia
chopa wasitumie wasije dunguliwaTunaomba Chopa sasa, tafadhari kwenye Oparesheni CHADEMA NI WATU chapu,tume miss mno vibes za Peoples Power.Mafuta tutachangia
Umewaza mbali sana...chopa wasitumie wasije dunguliwa
Ni kweli si unaona ccm imetafutiwa DAWa zote lakini imeshakufa kibudusikio la kufa halisikiagi dawa
Huoni kuwa unajidhalilisha na kuuabisha utu wako? Yaani wewe chochote kilichopo kichwani mwako, unadondosha popote wakati wowote bila ya kuangalia hicho kama kichojadiliwa kina uhusiano na takataka unayoidondosha!! Loh! Hasara kubwa kwa wanafamilia wako, hasa wazazi, kama Mungu ameendelea kuwajalia uhai.sikio la kufa halisikiagi dawa
sina muda wa kuskiza mambo ninayojua tayari gentleman,
in fact kuskiza viongozi vilaza kama hao wa chadema ni fedheha pia
mnapotoshana kwa matamko ya kilofa mno ndugu mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ndio maana mapingamizi ya vibaraka yote hupuuzwa na kutupwa mbali ila kwa kiburi cha sikio la kufa manadanganyana kufanya mikutano haramuSijui kwa nini ninyi mliopata bahati mbaya ya kukosa akili huwa mnashindwa kuyajua matatizo yenu, na kuamini kuwa ninyi punguani ndiyo mna akili timamu, na kuwaona wente akili ndiyo hawana akili! Mtu kama wewe kwa kipimo cha aina yoyote, kamwe huwezi kuwa na akili timamu.
sasa ndugu mamaluki lofa,Huoni kuwa unajidhalilisha na kuuabisha utu wako? Yaani wewe chochote kilichopo kichwani mwako, unadondosha popote wakati wowote bila ya kuangalia hicho kama kichojadiliwa kina uhusiano na takataka unayoidondosha!! Loh! Hasara kubwa kwa wanafamilia wako, hasa wazazi, kama Mungu ameendelea kuwajalia uhai.
Kumbe ndiyo maana Kombo anazungukazunguka huko na huyu mwingine kaalikwa kwenye sherehe za watu kaenda kuomba barabara πππsasa ndugu mamaluki lofa,
chama hicho cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kilipigwa stop kufanya shughuli zake nnchini na kutumia mali za chama.
Mawakili malofa wakaweka mapingamizi nonsense kama yote na yote yamepigwa chini,
kwa kiburi na jeuri za kilofa,
eti naibu katibu mkuu anapuuza makatazo ya kisheria ya mahakama na kuamuru kazi za chama cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kianze kufanya siasa na kutumia mali za chama zenye zuio la kimahakama kutumika.
huoni hiyo ni nonsense ndugu mamaluki lofa?