CHADEMA: Kuanzia leo Februari 11, 2026 tuko huru kutumia ofisi na mali zetu zote

mnapotoshana kwa matamko ya kilofa mno ndugu mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ndio maana mapingamizi ya vibaraka yote hupuuzwa na kutupwa mbali ila kwa kiburi cha sikio la kufa manadanganyana kufanya mikutano haramu
 
Kumbe ndiyo maana Kombo anazungukazunguka huko na huyu mwingine kaalikwa kwenye sherehe za watu kaenda kuomba barabara 😆😃😃
kuzunguka wapi ndugu mamaluki lofa Allen Kilewella ?
huyo mwanasheria lofa kule mahakamani analalamikia pingamizi lake nonsense kutupiliwa mbali, ikimaanisha kesi ya msingi na makatazo ya msingi ya kisheria yanaendelea,

sasa haijulikani ni kitu gani kimempata,
anawashauri mazuzu wa kisheria akina amani galawa eti waendelee na shughuli za chama zilizostopishwa na mahakama.

huo ni uzuzu au ulofa gentleman?
 
Unafikiri huyo anaakili jitu kubwa ila kichwa lina makamasi.
 
hakuna tatizo gentleman,
twendeni mikutanoni tukasake pesa kwa kibakuli tuinue maisha ya viongozi wa chama, hakuna haja ya kuzingatia makatazo au mazuio ya kimahakama
Habari Yako ndugu chawa.... Leo umekula au unataabika na njaa hapo juani unaposhonea viatu na jioni uuze kahawa??
 
sikio la kufa halisikiagi dawa

Walio kufa ni vijana wa Kitanzania Chadema sio tu haijafa dada letu chawa Chadema ndiyo imeimarika kuliko zamani. Tunashukuru sana kwa kuimarisha Chadema tuliwaambia!
 
Walio kufa ni vijana wa Kitanzania Chadema sio tu haijafa dada letu chawa Chadema ndiyo imeimarika kuliko zamani. Tunashukuru sana kwa kuimarisha Chadema tuliwaambia!
acha porojo gentleman,
jikite kwenye hoja
 
Mungu ibariki CHADEMA pamoja na viongozi wake wote.
 
Huyu aliambiwa karibu ccm Ila ubongo tunaukabidhi pale getini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…