Uchaguzi 2020 Chadema Kubalini matokeo, Watanzania Wote tunaendelea na Shughuli zetu tumeanza kuwasahau

Uchaguzi 2020 Chadema Kubalini matokeo, Watanzania Wote tunaendelea na Shughuli zetu tumeanza kuwasahau

Omary - Msamalia

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
2,079
Reaction score
4,521
Baada ya tarehe 28 October, Tanzania hali ni shwari na yenye utulivu Watanzania tumemaliza Uchaguzi na Chadema wameshindwa Vibaya sana wamebaki kama Chauma.

Lissu nani alikudanganya kuwa utawaambia Watanzania Nendeni Barabarani nao watatoka. Washabiki wako wa mtandaoni wako Instagram wanapitia kurasa za Wasafi, wengine wanasema tutakosa hela za msaaada.

Yaani in short washakuacha peke yako kama unaweza kata tiketi ya Mapema. Tu CCM ni Watanzania, na Watanzania ni CCM
 
Haya ndio matokeo halisi na mabaya ya matumizi ya kodi za wananchi, yaani kodi inetumika rasmi kuharibu mchakato wa uchaguzi hii ni hatari sana aisee..... Tutegemee nini sasa maana ubadhirifu wa fedha za wananchi umeanza mapema kabisa hivi... 😎
 
Lissu aliponzwa na umati wa watanzania waliokuwa wanafurika kumcheka, yeye akizania wanamsupport. Kwa kweli hapa lazima aje kuachana na siasa na ajuwe kuwa watanzania ni wajumbe hatari sana.

Hakuna mtanzania anayetaka chama cha kishenzi hata ofisi hakina. Arudi tu Ulaya akapakatwe na kutetea mashoga.
 
Wezi wa kura wanaweza kulinda raslimali za taifa?

Bila shaka nchi iko mikononi mwa majambazi.
Ikiwa kura si njia halali ya kubadili uongozi basi tujiandae kutumia njia m badala.

Huko Mtwara mambo ndiyo kwanza yameanza,na yatasambaa nchi nzima
 
Naunga mkono hoja wakae kwa kutulia wajilie mafao yao na kujiajiri pia ..tuache wenye kuweza kupambana na serikali hii wapambane nayo basi.
 
Ngoja niwambie kitu uchaguzi Tanzania ni kiini macho matokeo yanapangwa nje ya box la kura
Ccm inapanga nani apande na nani ashuke
Wakati cafu ni ngangari KInoma Ccm inafanya upendeleo wa kuipaisha CDM
Mbaka Chadema wakajiona wao ndio wao wakasahau ya kwamba pale kwenye ule mti kapandishwa kwa makusudi ili ccm wauwe nguvu ya cafu na wakafaniwa kwa 100%
Leo Chadema ngangari ccm ile ile kwa mbinu zile zile walizoiuwa cafu ndio leo zinatumika kuuwa Chadema
Wanahakikisha aupati hata mbunge mmoja machachari
Chama kinafia hapo,
Akili ndogo wanaangalia nyomi la Lissu
Akili kubwa wanakunyima sauti bungeni kisha ndio inakuwa mwisho wako
hata wafuasi wa cafu sio kwamba wamekufa lah hasha ,, wamekatishwa tamaa awapigi tena kura nchi hii . .
 
Kampeni zilipoendelea mitaani.. wao walikuwa wanasubiri waandikiane mitandaoni kuonyesha misifa... eeeeh.. hata waliowameza wamewatenda miezi sijui miaka..

eeeeh nasema
Magufuli Baba laooooo 💚 💛 💚💛💚
 
Back
Top Bottom