CHADEMA kubalini yaishe kutunishiana misuli na serikali mtaumia nyie, Shauri yenu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani.

Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe serikali haiwezi kuw yatima.

Mwisho wa siku chama kinayeyuka inabaki story na hamna. cha kumfanya samia na serikali yake. Lisu hana diplomatic approach ya mabo. He is still nincompoop on issues
 
Naona unapuyanga tu, hujui kulia wala kushoto.
 
So kwanza inabidi Lissu afutiwe mashtaka na kisha akubaliwe kushiriki Uchaguzi ??!

Safi kabisa ! Lakini je inawezekana ?!! 😳 !
 
Wakishafanya unachokiwaza ndiyo wataletewa madai yao kwenye sahani?Na wakiumizwa,wewe inakudhuru kipi?
Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani.

Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe serikali haiwezi kuw yatima.

Mwisho wa siku chama kinayeyuka inabaki story na hamna. cha kumfanya samia na serikali yake. Lisu hana diplomatic approach ya mabo. He is still nincompoop on issues
Chadema wanasimamia maslai ya wananchi
 
NoreformsNoelection ✌️
 
Una maana wakubali tu hata kama uchaguzi ni wizi?
 
Jibu hoja za Polepole achana na CHADEMA.
 
Ndio ushauri wa jamaa kwa cdm, kuwa wajinyenyekeze ili wawe wanapewa viti viwili vitatu, huku wafuasi wake wakiuwawa na kuachwa na vilema kila uchaguzi. Anadhani cdm inajali sana kuwa chama kikuu cha upinzani, hata kama chaguzi ni za kihuni.
 
Mbona ameshajibiwa na katulia mana kapata majibu tayari. Nanmoja ya majibu aliyipata ni kwamba kipindi cha jpm mbona alikaa kimya watu wakipotea, kutekwa, kuibiwa pesa kwenye account zao na serikali na akina lisu kupigwa masasi na jpm?
 
Ndio ushauri wa jamaa kwa cdm, kuwa wajinyenyekeze ili wawe wanapewa viti viwili vitatu, huku wafuasi wake wakiuwawa na kuachwa na vilema kila uchaguzi. Anadhani cdm inajali sana kuwa chama kikuu cha upinzani, hata kama chaguzi ni za kihuni.
Bali chauma kinakuwa chama kikuu cha upinzani soon na mbowe anarudi paleple alipokuwa. Chadema inakuwa imeisha na kubaki story na maisha yanaendelea kama kawa. Nyie wenyewe ni waoga mkiambiwa muingie barabarani mnasema hii ni kazi ya lisu.
 
Back
Top Bottom