CHADEMA kubalini yaishe kutunishiana misuli na serikali mtaumia nyie, Shauri yenu

Bali chauma kinakuwa chama kikuu cha upinzani soon na mbowe anarudi paleple alipokuwa. Chadema inakuwa imeisha na kubaki story na maisha yanaendelea kama kawa. Nyie wenyewe ni waoga mkiambiwa muingie barabarani mnasema hii ni kazi ya lisu.
Wache wawe chama kikuu cha upinzani maana hatuna muda na siasa za kitapeli. Ni bora cdm ife kuliko iwepo kisha ikubali kufanya siasa za kitapeli. Madai ya cdm ni halali na hayakuanza leo. Cdm hawataki mabadiliko ili kuingia madarakani, ama kuwa chama kikuu cha upinzani, bali ni ili kura halali za wananchi ziheshimiwe. Ukishajua unachokitaka, sio rahisi uingizwe kwenye vitisho vya kipuuzi.
 
Mbona ameshajibiwa na katulia mana kapata majibu tayari. Nanmoja ya majibu aliyipata ni kwamba kipindi cha jpm mbona alikaa kimya watu wakipotea, kutekwa, kuibiwa pesa kwenye account zao na serikali na akina lisu kupigwa masasi na jpm?
Kwa jibu hilo ni wazi ccm na viongozi wake wanapaswa kua mahakamani
 
Bali chauma kinakuwa chama kikuu cha upinzani soon na mbowe anarudi paleple alipokuwa. Chadema inakuwa imeisha na kubaki story na maisha yanaendelea kama kawa. Nyie wenyewe ni waoga mkiambiwa muingie barabarani mnasema hii ni kazi ya lisu.
Hili likitokea Chadema Ipo mioyoni hivyo kitapata wafuasi wengi sana
 
Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani.

Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe serikali haiwezi kuw yatima.

Mwisho wa siku chama kinayeyuka inabaki story na hamna. cha kumfanya samia na serikali yake. Lisu hana diplomatic approach ya mabo. He is still nincompoop on issues
Wakubali yaishe nini . Nini hicho unataka wakubali?
 
Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani.

Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe serikali haiwezi kuw yatima.

Mwisho wa siku chama kinayeyuka inabaki story na hamna. cha kumfanya samia na serikali yake. Lisu hana diplomatic approach ya mabo. He is still nincompoop on issues
Mandela alikaa miaka 27 jera kwa kuivimbia serikali, Leo SA ipoje?
Kasome mapinduzi, ya vijana ufaransa,
Hv ndio inavyotakiwa,kuna kina nyie mnaamini mabadiriko lazima yatokee Leo, kizazi, hiki,sio sawa, Lisu, chadema wanapanda mbegu, hata ikipita miaka 500! Ccm watatoweka tu, haya, tunyopitia chini ya, ccm, Kenya waliishi, miaka ya, 80,90
 
Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani.

Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe serikali haiwezi kuw yatima.

Mwisho wa siku chama kinayeyuka inabaki story na hamna. cha kumfanya samia na serikali yake. Lisu hana diplomatic approach ya mabo. He is still nincompoop on issues
Naunga mkono hoja, tumewashauri sana tuu.
-
- The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!
P
 
Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani.

Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe serikali haiwezi kuw yatima.

Mwisho wa siku chama kinayeyuka inabaki story na hamna. cha kumfanya samia na serikali yake. Lisu hana diplomatic approach ya mabo. He is still nincompoop on issues
Shenzi ccm wote
 
Back
Top Bottom