Pre GE2025 CHADEMA kuchere: Lema, Msigwa, Heche na Pambalu ndani ya jukwaa moja Singida kumuunga mkono Lissu

Pre GE2025 CHADEMA kuchere: Lema, Msigwa, Heche na Pambalu ndani ya jukwaa moja Singida kumuunga mkono Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
20240615_210837.jpg
Lissu na jeshi la makamanda wasioyumbishwa na yoyote Lema, Msigwa na Heche watakuwa jukwaa moja wakigaragaza waramba asali uko Singida.

Msigwa - amekataa rufaa uchaguzi uliojaa rushwa na uhuni uko Nyasa.
Heche - Kaenguliwa ujumbe kamati kuu
Lema - Kajitoa uchaguzi kumpisha kijana wa Mwenyekiti

Makamanda wanazidi kuwasha moto mpaka dikteta aachie chama kiwe cha wote.
 
..hao walipaswa kwenda kufanya mikutano kanda na mikoa tofauti na Lissu.
 
Lema katumwa kusikiliza mipango yao. Wamfukuze arudi kwa kambi Mbowe. Ni kidudu mtu.

Mwenyekiti ni muhimu atoke kanda nyingine. Na hasa kanda ya kati au nyanja za juu kusini na buse versa is true.
 
View attachment 3018158
Lissu na jeshi la makamanda wasioyumbishwa na yoyote Lema, Msigwa na Heche watakuwa jukwaa moja wakigaragaza waramba asali uko Singida.

Msigwa - amekataa rufaa uchaguzi uliojaa rushwa na uhuni uko Nyasa.
Heche - kaenguliwa ujumbe kamati kuu
Lema - kajitoa uchaguzi kumpisha kijana wa mwenyekiti

Makamanda wanazidi kuwasha moto mpaka dikteta aachie chama kiwe cha wote.
Unaweza kuandika chochote lkn Lema & Heche hawana ubavu wa kumgeuka Mbowe.
 
Kama ni nani agombee Urais, CDM wana utaratibu wao wa kumpata kupitia utafiti wa kitaalam, itajulikana tu.
 
Back
Top Bottom