Kwenye Ratiba Leo na kesho Lema yuko na Mbowe Tanga na Arusha 😂
..Askofu Machumu, Mwaipaya, Jumbe, Ole Sosopi, wanatosha kumsaidia Lissu ktk mikoa ya Singida, Morogoro, na Dodoma.
..Lissu akiingia Dodoma wanaweza kumuongeza Benson Kigaila kwasababu ni mwenyeji wa huko. Pia waliogombea Ubunge na udiwani wanaweza kuungana naye
..wakiingia Morogoro watu kama Susan Kiwango na wenzake wenyeji wa mkoa huo wanatakiwa kuwa ktk msafara.