Ole sosopi ni team mbowe hawezi kaa jukwaa moja la lissu
..kwa taarifa yako, Ole Sosopi yuko kwenye msafara wa Lissu toka mwanzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole sosopi ni team mbowe hawezi kaa jukwaa moja la lissu
Nimesema atoke kaskazini sijataja kabilaUnasema mwenyekiti lazima awe mchaga?
Hakuna mjadala hapa mwenyekiti ni kasakazini,uliona wapi bishara inarithishwa jirani?Nimesema atoke kaskazini sijataja kabila
Tuanzie hapa:Lakini wachaga ndio idadi kubwa ya wanachadema
DuhTuanzie hapa:
1:Mwenyekiti ni Mzee Mbowe
2:Mrema :Kaoa kwenye ukoo wa akina mbowe
3: Lema anaegiza kuwa hataki cheo kwa sasa (zuga) ni binamu yake Mzee Mbowe.
4:James Mbowe ni mtoto wa kaka yake Mbowe
4:Malisa kaoa nyumba moja na Jemes Mbowe
6😀evota Minja(morogoro mjini) ni mtoto wa dada yake Mbowe
7:Soka yule kijana anaeshinda mitandaoni kutukana nae ni mtoto wa dada yake Mzee Mbowe
8: Halima mdee mama yake ni ukoo wa Lema
Yaani hiki chama kinatia aibu