Pre GE2025 CHADEMA kuchere: Lema, Msigwa, Heche na Pambalu ndani ya jukwaa moja Singida kumuunga mkono Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye Ratiba Leo na kesho Lema yuko na Mbowe Tanga na Arusha 😂

..Askofu Machumu, Mwaipaya, Jumbe, Ole Sosopi, wanatosha kumsaidia Lissu ktk mikoa ya Singida, Morogoro, na Dodoma.

..Lissu akiingia Dodoma wanaweza kumuongeza Benson Kigaila kwasababu ni mwenyeji wa huko. Pia waliogombea Ubunge na udiwani wanaweza kuungana naye

..wakiingia Morogoro watu kama Susan Kiwango na wenzake wenyeji wa mkoa huo wanatakiwa kuwa ktk msafara.
 
Ujinga
 
Lema, Msigwa na Heche watakuwa jukwaa moja wakigaragaza waramba asali uko Singida.
Haya maneno yamenifanya nicheke.
Kwa vlle sikuwa nima angalia nani mleta mada, lakini nikijuwa nada kama hizi mara nyingi ni kutoka kwa rafiki yangu 'Erythro'; nikaanza kucheka hadi nilipo angalia na kukuta ni mkuu 'sonofobia' ndiye mwenye kejeli kama hizi.

Sasa rafiki yangu sijui ana lipi la kuongeza hapa!
 
Hali si shwari ndani ya nyumba.
 
Hali si shwari ndani ya nyumba.
Najuwa mkuu. Mimi hali hiyo nilianza kuisoma toka enzi za "maridhiano", halafu nikaja kuiimarisha na COVID-19.
Lakini hatuachi kuendelea kuwa na matumaini juu ya hawa; kwamba watayamaliza salama vya kutosha.
Kwani, kama si hawa, matumaini tuyapeleke kwa nani sasa?
 
Ole sosopi ni team mbowe hawezi kaa jukwaa moja la lissu
 
Acheni usanii ,Lema ni mjomba wake mzee Mbowe ,haitaka itokee Lema aache kuamini anachokiamini mzee Mbowe
 
Lema katumwa kusikiliza mipango yao. Wamfukuze arudi kwa kambi Mbowe. Ni kidudu mtu.

Mwenyekiti ni muhimu atoke kanda nyingine. Na hasa kanda ya kati au nyanja za juu kusini na buse versa is true.
Kama kuna wakati wa kurudisha hiki chama kwa watanzani ni sasa ,wakishindwa tu ,haitakaa itokee tena.
 
Hao hawamjui Mbowe na team yake wakigombea ubunge wanakata majina Yao wstafute chama kingine
 
Mwenyekiti ni muhimu atoke kanda nyingine. Na hasa kanda ya kati au nyanja za juu kusini na buse versa is true.
Mwenyekiti hawezi Toka sehemu yenye wanachama wachache wa Chadema lazima atoke sehemu yenye wanachama wengi na Makamu pia

Mwenyekiti atoke Kaskazini ,na Makamu atoke Kanda ya ziwa katibu atoke Nyasa

Kanda ya kati hamna kitu zaodi ya kelele za Lisu tu wanachama wachache sana
 
Unasema mwenyekiti lazima awe mchaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…