Tuanzie hapa:
1:Mwenyekiti ni Mzee Mbowe
2:Mrema :Kaoa kwenye ukoo wa akina mbowe
3: Lema anaegiza kuwa hataki cheo kwa sasa (zuga) ni binamu yake Mzee Mbowe.
4:James Mbowe ni mtoto wa kaka yake Mbowe
4:Malisa kaoa nyumba moja na Jemes Mbowe
6😀evota Minja(morogoro mjini) ni mtoto wa dada yake Mbowe
7:Soka yule kijana anaeshinda mitandaoni kutukana nae ni mtoto wa dada yake Mzee Mbowe
8: Halima mdee mama yake ni ukoo wa Lema
Yaani hiki chama kinatia aibu