Hivi kweli eee! Nikienda Dodoma nifike Mirembe kupimwa eee?Kuchanganyikiwa hakuko mbali na wewe
HakikaHivi kweli eee! Nikienda Dodoma nifike Mirembe kupimwa eee?
Humu jamii forum anachanganyikiwa kwa wakati wake.Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua kutenda haki.
CHADEMA ni wajanja sana, wanacheza siasa zao vizuri kwani hawaangalii hapa karibu, wanaangalia mbali mno!
kwa hio sehemu zote CDM ndio wanahutubia hivyo wananchi na kwenye kampeni ya NoReformsNoElectionMkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua kutenda haki.
CHADEMA ni wajanja sana, wanacheza siasa zao vizuri kwani hawaangalii hapa karibu, wanaangalia mbali mno!
Watafanya hivyo wkt wa kampeni za Uchaguzi!kwa hio sehemu zote CDM ndio wanahutubia hivyo wananchi na kwenye kampeni ya NoReformsNoElection
kweli CCM huwa mnaacha ubongo wenu kitandani mnapoamka!