CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti wa Jaji Chande Mei

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28, 2026.
 
Uchambuzi wa ripoti au uchambuzi wa hotuba ya ripoti?

Ripoti haijatolewa kwa umma.
 
wanafanya uchambuzi wa ripoti na tume ambayo hawaitambui?

hiyo si kitu nonsense sana ndugu wadau?
yaani wanakula matapishi yao wenyewe?
 
wanafanya uchambuzi wa ripo na tume ambayo hawaitambui?

hiyo si kitu nonsense sana ndugu wadau?
yaani wanakula matapishi yao?

Mwendawazimu wewe, hujitambui. Hujui kuwa japo majambazi siyo watu tunaowataka lakini wakati wote wanadamu hupitia taarifa mbalimbali za majambazi? Nani alikuambia kuwa kitu usichokikubali, hukifuatilii? Vyombo vya ulinzi hufuatilia wakati wote taarifa za majambazi. Kwa fikra zako hawastahili kufuatilia kwa sababu hawawakubali majambazi ni watu wema?
 
hiyo nonsense kama huko ndiko kujitambua gentleman,
yaani kumbe chadema masalia ni stakinataka right?

kwani chadema masalia walipokua wanafanya kazi kubwa sana ya kuchochea, kufadhili, kuhamasisha kukinukisha na kuua wapiga kura, walijua hawataonekana?

waache kuweweseka kindezi hivyo,
mkono wa sheria utawafikia kwa wakati muafaka, hawana haja ya kua na viherehere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…