Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Na maoni yangu niliyatoa mbele ya Profesa Kabudi pamoja na team yakeKatiba Mpya imebeba mstakabali wa Mambo yote pamoja na Walimu.
Mfano mimi katika maoni niyotoaga ktk Rasimu ya Mzee Warioba niwazungumzia Wamasai juu ya kuhamishwahamishwa tukumbuke kokote waendako huondolewa na kuonekana hawastahili kuwepo pale wapoliona jibu la kupata malisho.
Na nikasema huko tuendako itatokea historia kama ya Wanaizrael ya kuitafuta asili yao ambayo ninaamini haitatuacha salama na umoja
MuongoChadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
Si mbaya, toka Uhuru vyeo tunavyo sisi CCM.Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
Ha ha ha! Hizo rangi noma sana hasa hiyo violet iliyojitokeza chini ya mkoti wa kijani.Lipumba na CUF wanataka katiba mpya sasa. Mbatia na NCCR wanataka katiba mpya sasa. Watanzania kwa mujibu wa twaweza 2017 hawa hapa:
TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya
Kwani huwajui wanaohaha kuichelewesha katiba mpya? Ni hawa hapa:
View attachment 2168494
Ila hawataweza.
Habari ndiyo habari yenyewe.
Mwananchi wa kaida yuko ndani ya katiba,katiba imebeba kilakitu.Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
Mimi nilichangia Katiba Ibainishe Haki za Mzawa!Katiba Mpya imebeba mstakabali wa Mambo yote pamoja na Walimu.
Mfano mimi katika maoni niyotoaga ktk Rasimu ya Mzee Warioba niwazungumzia Wamasai juu ya kuhamishwahamishwa tukumbuke kokote waendako huondolewa na kuonekana hawastahili kuwepo pale wapoliona jibu la kupata malisho.
Na nikasema huko tuendako itatokea historia kama ya Wanaizrael ya kuitafuta asili yao ambayo ninaamini haitatuacha salama na umoja
Calm down young sister, discuss mustakabari wa taifa lako kwa akili... Acha upumbavu; mlihodhi Bunge la Katiba mbona hamkuleta hiyo Katiba?
Chinembeee kama jinall lako.Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida