CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.

Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?

Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.

Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa

Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.

Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?

Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.

Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Hujui usemalo ndugu..

Na maskini wa akili wewe hata hujui uhusiano wa katiba na maisha ya kila mtu awe mkulima, mwalimu, machinga nk nk..!

Pole sana hakika na umeshapuuzwa na kila mmoja!!
 
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.

Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?

Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.

Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Huko nyuma vyama vya upinzani viliungana kudai katiba mpya na tume huru.

Hivi karibuni baadhi ya vyama vimeungana na ccm kuanza na tume huru na baadae katiba mpya isipokuwa chadema .

Nani kakuambia katiba mpya si ya wananchi bali ya chadema?

Au waona wivu wengi wanavyounga msimamo wa chadema?

Kwani lazima katiba mpya ikipitishwa chadema watashika dola?

Hata wakishika dola yatakuwa MAAMUZI ya wenyekatiba
 
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.

Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?

Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.

Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Braza, kwani KATIBA ni nini?
 
Huko nyuma vyama vya upinzani viliungana kudai katiba mpya na tume huru.Hivi karibuni baadhi ya vyama vimeungana na ccm kuanza na tume huru na baadae katiba mpya isipokuwa chadema .Nani kakuambia katiba mpya si ya wananchi bali ya chadema? Au waona wivu wengi wanavyounga msimamo wa chadema? Kwani lazima katiba mpya ikipitishwa chadema watashika dola? Hata wakishika dola yatakuwa MAAMUZI ya wenyekatiba

CUF wanataka katiba mpya sasa. NCCR wanataka katiba mpya sasa. Chadema wanataka katiba mpya sasa.

Tuweke kumbukumbu sawa sawa.

Walio pamoja ni hawa wawili tu. Labda utuonyeshe wengine:

IMG_20220329_190143_908.jpg
 
Vuguvugu la kudai katiba mpya sio mali ya Chadema.
Ni hisia tu zinawatuma mlio against CDM kuona hivyo.

CDM haidai katiba mpya ili wawapelekee wake/waume au familia zao.

Umetuambia itakuwa,na ndivyo ilivyo,kuwa katiba ni sheria-msingi/mama iongozayo nchi.Basi itabakia kuwa ni ya wananchi.Na si ya CDM peekee.
 
Back
Top Bottom