CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

Calm down young sister, discuss mustakabari wa taifa lako kwa akili

CDM wanadai katiba mpya maana ndani yake ina madai yote ya wananchi.

Isitoshe hao unaoita wananchi hawawezi kudai haki zao mpaka wasubiri cdm wawasaidie kudai?

Katiba inayodaiwa na cdm itatoa nafasi ya madai ya wananchi kifanyiwa kazi na hayatasubiri hisani ccm.
 
CDM wanadai katiba mpya maana ndani yake ina madai yote ya wananchi. Isitoshe hao unaoita wananchi hawawezi kudai haki zao mpaka wasubiri cdm wawasaidie kudai? Katiba inayodaiwa na cdm itatoa nafasi ya madai ya wananchi kifanyiwa kazi na hayatasubiri hisani ya majizi ya kura ccm.
Dogo najua bado una machungu na uchaguzi wa 2020.

Lakini kama mnadai katiba kwa mustakabari wetu sote basi muwe mnajenga hoja shirikishi.
 
Huwa sielewi watu kama huyu mtoa mada kuilamu Chadema..
Chama gani kingine kimetoka hadharani kudai Katiba au hata wewe umefanya nini kuidai Katiba mpya
Iko hivi Chadema wanafanya kwa ajili ya Taifa sio chama chao sasa mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa

Chagu wa Malunde mnakera sana Chadema waliwafanya nini?

Kama hutaki kuungana na Chadema idai Katiba kivyako kwani umekatazwa....

Lumumba 1 huyo. Yuko kazini.

Haipo katiba wala nini anachoongelea.

Hao ni wale wenye kukaanga mbuyu.
 
Dogo najua bado una machungu na uchaguzi wa 2020. Lakini kama mnadai katiba kwa mustakabari wetu sote basi muwe mnajenga hoja shirikishi.
Hakuna aliyekukataza weye na wenzako kuungana na CDM kudai katiba mpya.

Bado nasisitiza,muache hisia hasi za kufikiri mmetengwa na wengine "wanajifanya" viongozi wa madai.
 
Unataka ushirikishwe kwa kufuatwa nyumbani kwako na kubembelezwa?

Unataka dai katiba, ukibaki unarembaremba walioko tayari wanaendelea kuidai.
Unataka kusema mpaka watanzania wavae matisheti ya Chadema na kuuza sura ndio mjue wako tayari kudai katiba mpya? Ndio maana mnajipiga kifua kuwa katiba mpya ni hoja yenu?
 
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.

Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.

Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?

Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.

Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Hama lolo akabehi ne NSSF FAO LA KUJITOA
 
Tatizo siku hizi chadema hawana akili na kwa jinsi wanavyojifanya kuhodhi madai hayo katiba ndo wanatuharibia hatutapata hii katiba

Chadema wamekuwa watu wa ajabu Sana walikuja na agenda ya ufisadi wananchi wakawaelewa kisha wakawasaliti

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.

Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.

Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?

Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.

Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Unataka wakufuate nyumbani kwa mumeo wakwambie twende tukadai katiba mpya?
 
Ccm ni janga la Taifa, huu upuuzi unapatikana Lumumba tu.

Unawezaje kutetea wakulima na walimu wakati katiba inampa mamlaka Raise kumdhuru Kila atakae inua mdomo kuisema vibaya serikali!!!.

Ccm wapo Bungeni umesikia hata mmoja ameongelea kupanda kwa bei za bidhaa??,

Chadema wakidai katiba ccm mdai haki za raia na unafuu wa maisha na ndugu yenu Act adai tume HURU.
Katiba ya hovyo kabisa
 
Hivi mleta Mada unatumia kichwa kufikiri kama binadamu? Wakati mwingine Tanzania tunapata shida ya mambo madogo madogo kwa sababu ya matumizi ya akili zetu.
Kwa akili hizi CCM watatutawala Sana.
 
Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
Takataka 🚮🚮🚮🚮
Katiba Mpya inatakiwa na umma..
Kasome Rasimu ya Warioba.
Na Warioba siyo Chadema!
 
Hivi mleta Mada unatumia kichwa kufikiri kama binadamu? Wakati mwingine Tanzania tunapata shida ya mambo madogo madogo kwa sababu ya matumizi ya akili zetu.
Kwa akili hizi CCM watatutawala Sana.
Mleta mada ni mhuni wa Lumumba tu..
Mmoja wa wale polepole alisema anafukiza moshi mashimoni kuwakurupusha!!!
 
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.

Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.

Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?

Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.

Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.

CCM kupinga vuguvugu la kudai katiba peke yao na kujiweka kana kwamba wananchi wote hawahitaji Katiba mpya yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya.​

Back
Top Bottom