CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya


Hujui usemalo ndugu..

Na maskini wa akili wewe hata hujui uhusiano wa katiba na maisha ya kila mtu awe mkulima, mwalimu, machinga nk nk..!

Pole sana hakika na umeshapuuzwa na kila mmoja!!
 
Huko nyuma vyama vya upinzani viliungana kudai katiba mpya na tume huru.

Hivi karibuni baadhi ya vyama vimeungana na ccm kuanza na tume huru na baadae katiba mpya isipokuwa chadema .

Nani kakuambia katiba mpya si ya wananchi bali ya chadema?

Au waona wivu wengi wanavyounga msimamo wa chadema?

Kwani lazima katiba mpya ikipitishwa chadema watashika dola?

Hata wakishika dola yatakuwa MAAMUZI ya wenyekatiba
 
Braza, kwani KATIBA ni nini?
 

CUF wanataka katiba mpya sasa. NCCR wanataka katiba mpya sasa. Chadema wanataka katiba mpya sasa.

Tuweke kumbukumbu sawa sawa.

Walio pamoja ni hawa wawili tu. Labda utuonyeshe wengine:

 
Vuguvugu la kudai katiba mpya sio mali ya Chadema.
Ni hisia tu zinawatuma mlio against CDM kuona hivyo.

CDM haidai katiba mpya ili wawapelekee wake/waume au familia zao.

Umetuambia itakuwa,na ndivyo ilivyo,kuwa katiba ni sheria-msingi/mama iongozayo nchi.Basi itabakia kuwa ni ya wananchi.Na si ya CDM peekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…