Calm down young sister, discuss mustakabari wa taifa lako kwa akili
Ukiona mtu anaanzisha uzi halafu anashindwa kujibu vizuri maswali kuhusu uzi wake ujue huyo ni ndezi tu.
Dogo najua bado una machungu na uchaguzi wa 2020.CDM wanadai katiba mpya maana ndani yake ina madai yote ya wananchi. Isitoshe hao unaoita wananchi hawawezi kudai haki zao mpaka wasubiri cdm wawasaidie kudai? Katiba inayodaiwa na cdm itatoa nafasi ya madai ya wananchi kifanyiwa kazi na hayatasubiri hisani ya majizi ya kura ccm.
Acha kujadili masuala ya kitotoHuyo ni m Lumumba kindaki ndaki hayupo hapa wala pale
Huwa sielewi watu kama huyu mtoa mada kuilamu Chadema..
Chama gani kingine kimetoka hadharani kudai Katiba au hata wewe umefanya nini kuidai Katiba mpya
Iko hivi Chadema wanafanya kwa ajili ya Taifa sio chama chao sasa mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa
Chagu wa Malunde mnakera sana Chadema waliwafanya nini?
Kama hutaki kuungana na Chadema idai Katiba kivyako kwani umekatazwa....
Acha kujadili masuala ya kitoto
Naona umekosa hoja sasaLumumba 1 huyo. Yuko kazini. Haipo katiba wala nini anachoongelea. Hao ni wale wenye kukaanga mbuyu.
Hakuna aliyekukataza weye na wenzako kuungana na CDM kudai katiba mpya.Dogo najua bado una machungu na uchaguzi wa 2020. Lakini kama mnadai katiba kwa mustakabari wetu sote basi muwe mnajenga hoja shirikishi.
Dogo najua bado una machungu na uchaguzi wa 2020. Lakini kama mnadai katiba kwa mustakabari wetu sote basi muwe mnajenga hoja shirikishi.
Unataka kusema mpaka watanzania wavae matisheti ya Chadema na kuuza sura ndio mjue wako tayari kudai katiba mpya? Ndio maana mnajipiga kifua kuwa katiba mpya ni hoja yenu?Unataka ushirikishwe kwa kufuatwa nyumbani kwako na kubembelezwa?
Unataka dai katiba, ukibaki unarembaremba walioko tayari wanaendelea kuidai.
Hama lolo akabehi ne NSSF FAO LA KUJITOAUkweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.
Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.
Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?
Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.
Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Akili za maccm,mapolomoko ya matope kabisaaaaChadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
🤣😅???Hama lolo akabehi ne NSSF FAO LA KUJITOA
Tatizo siku hizi chadema hawana akili na kwa jinsi wanavyojifanya kuhodhi madai hayo katiba ndo wanatuharibia hatutapata hii katibaUkweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.
Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.
Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?
Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.
Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Unataka wakufuate nyumbani kwa mumeo wakwambie twende tukadai katiba mpya?Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.
Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.
Kwa nini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe,waalimu,wakulima na wavuvi juu ya kuwa na katiba mpya itakayonufaisha makundi kama haya?
Wao ni juu ya kupata tume huru na mkakati wa kupata wabunge ili waweze kupata mkwanja wa kuendesha chama.
Hii inasababisha mchakato wa kudai katiba mpya kutokupata sapoti ya makundi yote hasa yasiyo na utashi wa kisiasa.
Katiba ya hovyo kabisaCcm ni janga la Taifa, huu upuuzi unapatikana Lumumba tu.
Unawezaje kutetea wakulima na walimu wakati katiba inampa mamlaka Raise kumdhuru Kila atakae inua mdomo kuisema vibaya serikali!!!.
Ccm wapo Bungeni umesikia hata mmoja ameongelea kupanda kwa bei za bidhaa??,
Chadema wakidai katiba ccm mdai haki za raia na unafuu wa maisha na ndugu yenu Act adai tume HURU.
Takataka 🚮🚮🚮🚮Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
Mleta mada ni mhuni wa Lumumba tu..Hivi mleta Mada unatumia kichwa kufikiri kama binadamu? Wakati mwingine Tanzania tunapata shida ya mambo madogo madogo kwa sababu ya matumizi ya akili zetu.
Kwa akili hizi CCM watatutawala Sana.
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.