CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
Viongozi na wanachama wa CCM hawataki katiba mpya ili waendelee kupeana vyeo kama zawadi
 
Mbona unaonesha wivu wa kifikra! Kuna aliyekatazwa kushikia bango, kuwa chawa na kiherere wa Katiba Mpya?
 
Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida
Walaji wa mali za wananchi hauwafahamu hadi leo?Tujuacho ni kuwa walaji wazoefu ndio hao wasiotaka katiba mpya na CHADEMA hawajawahi kula mali za wananchi.
Tusiwapotoshe wananchi kwa niaba ya walaji halisi.Pia tunapodai katiba mpya tuna malengo mapana kwa taifa na siyo vinginevyo.
 
Usilete theories zako hapa!!
View attachment 2168530
Ccm wanachoogopa ni hiki hapa:

 
Wewe unataka Katiba Mpya?
 

Na wewe Hodhi, ujakatazwa
 
We ni jinga
 
Unataka kusema mpaka watanzania wavae matisheti ya Chadema na kuuza sura ndio mjue wako tayari kudai katiba mpya? Ndio maana mnajipiga kifua kuwa katiba mpya ni hoja yenu?

Wavae ma T-Shirt ya cdm au watembee uchi hiyo watajua wao, sisi tunataka katiba mpya. Hili sio ombi bali ni lazima.
 
Ccm wanachoogopa ni hiki hapa:

Hiyo ni wakati ule hajahasiwa akili na kisiasa.Huyu jamaa yeye na wanaomfahamu hawawezi kumtambua leo kuwa ni mtu yule yule au huyu wa sasa siyo yeye.
Pole pole ni mnafiki na mCCM halisi kwa sifa za kutokuwa na msimamo wowote.Wakiulizwa:Mna njaa? Wanajibu ndiyooo!Wakiulizwa:Je,mmeshiba?Watajibu ndiyooo!
Ndiyo maana sisi wananchi wa Tanzania tunataka kuandika katiba mpya ili watu wanafiki waweze kuwajibika kwa matendo na kauli za hovyo bila kuwajibishwa.
 
Chadema wanataka katiba ili wapate vyeo waanze ulafi wa Mali za wananchi, huwasikii wanaongelea mwananchi wa kawaida.
Kwani maoni yaliyokusanywa na TUME ya Warioba yalikuwa ni ya nani? Nyie ndio mwaogopa maoni ya wananchi.
 
Wewe umezuiwa? Hoja mufilisi hii.
 
Hongera Mku
Mungu ndie Aliye Weka Taifa, Kabila, Lungha na Rangi!
Ukiona nyani wa ulaya ni Mzungu nyani wa India Muhindi, nyani wa Afrika mweusi!
Mungu Fundi Alijua kuna wajanja wajanja!
Halafu Akaagiza!
[emoji116][emoji116]
Kumbukumbu la Torati 17
15 usiache kumweka yule atakayechaguliwa na Bwana, Mungu wako, awe mfalme juu yako; umweke mmoja katika ndugu zako awe mfalme juu yako; usimtawaze mgeni juu yako, ambaye si ndugu yako.

16 Ili asifanye farasi wake kuwa wengi, wala asiwarudishe watu Misri, ili apate kufanya farasi kuwa wengi; kwa kuwa Bwana amewaambia, Tangu sasa msirudie tena njia ile.

17 Wala asijizidishie wake, ili moyo wake usikengeuke; wala asifanye fedha zake na dhahabu kuwa nyingi mno.
 
Professor Shivji amenena vema kuwa wanasiasa wanapenda madaraka na huwakemea wengine kuingia kwenye siasa na madaraka.Pia ninauhakika kuwa Wanazuoni walistahili kutushauri zaidi ili wananchi na wanasiasa wasivurugane kupitia Katiba bora.Hatutakiwi kuogopa kuandika katiba yetu kwa sababu za wengine walioandika katiba zao na kukumbana na changamoto.
Je,Professor anashirikije kuwasemea Watanzania kuhusu upatikanaji Wa Katiba Bora?
 
Wenge la katiba mpya🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…