Pre GE2025 CHADEMA kujadili Rufaa ya Msigwa hivi karibuni, Matokeo yake yatatolewa kwa vyombo vya habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hamtaki rufaa ijadiliwe?
Ina manufaa gani kwa sasa wakati kila kitu kipo wazi? Zaidi mnaandaa maokoto na kupata fursa ya kumsafisha mwenyekiti mbele ya Umma.
Kwa upande wangu naona ni mwendelezo wa vichekesho za vyama upinzani bongo.
 
Kwenye Sheria haki ya kila mtu lazima izingatiwe, waliotuhumiwa wana haki ya kujitetea
 
Upuuzi mpaka kaondoka kuna tofauti gani na bunge la tulia!
 
Mjadili ili iweje?
Acheni kuwafanya watu hamnazo
Kusafisha chama au kusafisha mtu?
Nyie haya tu!
 
Kwenye Sheria haki ya kila mtu lazima izingatiwe, waliotuhumiwa wana haki ya kujitetea
Hivi hicho chama huwa kinaheshimu sheria na haki za haki za watu?
Huwa na kuelewa kwa sababu unapigania kibarua chako ambayo ndo kula yako na familia yako. Ni jembo jema sana
 
Unaweweseka si mchezo Erythrocyte leo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…