CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

Nakunaliana na wewe ila sidhani kama alichofanya bwana Nyendo (!) NI KUSUDI NA NI HATARI
Sioni hatari yoyote maana hajaongeza maneno yoyote kwenye mwenendo zaidi ya sehemu kidogo kama hiyo kutojumuishwa. Binafsi niliuhitaji Sana huo ushahidi na Kwa vile Jana sikwenda mahakamani niliusaka na kuupata kirahisi tu. Soni cha maana cha kumconvict Mbowe Kwa mawasiliano yasiyoanika chochote. Au unadhani Urio kusema usitumie namba yako ndo Ugaidi?
 
Sasa kama huna taarifa sahihi na zilizokamalika kwa wakati,hoja yako inasimamia miguu ipi? Sababu hilo ni jukumu lako kama mleta mada
Mkuu inaelekea ndo unaamka- HABARI YA ASUBUHI
 
Sioni hatari yoyote maana hajaongeza maneno yoyote kwenye mwenendo zaidi ya sehemu kidogo kama hiyo kutojumuishwa. Binafsi niliuhitaji Sana huo ushahidi na Kwa vile Jana sikwenda mahakamani niliusaka na kuupata kirahisi tu. Soni cha maana cha kumconvict Mbowe Kwa mawasiliano yasiyoanika chochote. Au unadhani Urio kusema usitumie namba yako ndo Ugaidi?
Sioni hatari yoyote maana hajaongeza maneno yoyote kwenye mwenendo zaidi ya sehemu kidogo kama hiyo kutojumuishwa. Binafsi niliuhitaji Sana huo ushahidi na Kwa vile Jana sikwenda mahakamani niliusaka na kuupata kirahisi tu. Soni cha maana cha kumconvict Mbowe Kwa mawasiliano yasiyoanika chochote. Au unadhani Urio kusema usitumie namba yako ndo Ugaidi?
 
Mbona mwandishi anarukaru. Hii hapa iko mwananchi ila hapa hamna

Taarifa ya Uchunguzi:

Shahidi: 13/8/2020 Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi ikipokea barua na vielelezo simu nane pamoja na simu card zake kwa ajili ya uchunguzi kubaini Mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii Kama vule Whatsapp, Telegram, unumbe mfupi na kupiga nakupigiwa katika namba za simu zilizotangulia, usajili wa namba hizo na Mawasiliano mengine

Kisha shahidi anasoma matokeo ya uchunguzi wake.

Shahidi: Katika uchunguzi huo shahidi anabainisha jinsi namba za simu hizo ambazo amebainisha usajili wake kuwa ni za baadhi ya washtakiwa, hususan Mbowe pamoja na shahidi mtarajiwa wa Jamhuri, Luten Denis Urio, wakijadiliana kuhusu kuwapata vijana ambao wengine wametajwa miongoni mwa washtakiwa.

Shahidi: Ripoti ya uchunguzi huo inabainisha muda wa mawasiliano hayo kupitia mitandao ya kijamii, zote ujumbe mfupi wa maneno, kupiga na kupokea simu na miamala ya fedha huku mmoja akimtahadharisha mwingine kuwa asiwe anatumia namba yake binafsi kwa masuala ya pesa

Wakati Shahidi anaendelea kusoma taarifa hizo, Jaji anahoji kama kuna kusoma taarifa zote hizo na hasa viambatanisho. Anashauri isomwe ripoti ya uchunguzi na wakili Hilla anamuongoza kwenye maneo muhimu ya uchunguzi.

Shahidi anabainisha mawasiliano Kati ya Mbowe na Denis Urio kuanzia Januari 2020 jinsi walivyotafutana kwa njia ya ujumbe wa mitandao na ujumbe na call kupitia telegram na ujumbe wa maneno

Shahidi: 20/7/2020 saa 1:59 asubuhi kupitia telegram Mbowe anasema kaka wale mtu tatu au nne ni muhimu sana siku zimekwisha.

Shahidi: Baadaye alipiga simu kwa telegram

Shahidi: Saa 1:45 asubuhi Denis alimpigia Mbowe

Shahidi: Saa 1:47'46 Mbowe alimpigia Denis

Shahidi: 20/7/2020 saa 2;20 Denis amtumia Mbowe ujumbe, bro kuna memba wawili mmoja yuko Tunduma anashughulika na mabasi ya safari za nje na mwingine yuko Dodoma

Shahidi:Mboye baadaye simu siyo salama

Shahidi: Baadaye Mbowe atuma ujumbe hao wawili kuanzia siyombaya na hawawezi kutelekezwa wameshakwanbia mahitaki yao

Shahidi: Denis anamtumia Mbowe ujumbe mmoja kazaliwa 1980

Shahidi: Baadaye Denis ujumbe kwa Mbowe nitumie nauli ya kwenda nao Moro

Shahidi: Mbowe anajibu hakuna tatizo, kiasi gani

Shahidi: Denis anajibu laki 5

Shahidi: Saa 2:21:48, Mbowe anajibu sawa kaka

Shahidi: 2:22:29 Denis kwa Mbowe Nashukuru nitakujibu jioni

Shahidi: Denis usiwe unatumia namba yako binafsi kutuma pesa tumia wakala au mtu mwingine

Shahidi: Mbowe Ok

Shahidi: 27/7/2020. Denis yule jamaa anayefanya kazi Yard ameshafika

Shahidi: Yule mtu wa Tunduma anakaribia Moro

Shahidi: Denis Ila Kuna maswali wanauliza kuhusu malazi na mishahara yao.

Shahidi: Baadaye Denis ampigia Mbowe

Shahidi: 22/7/2020 : 6:26 Denis ampigia Mbowe

Shahidi: 2/7/2020 saa 6: Denis Shikamoo mkuu wale vijana tayari niko nao nimekutana nao na wako tayari kwa kazi

Shahidi: Denis naomba unipe utaratibu wao

Shahidi: Mbowe 7:38 Denis amtumia Mbowe kuwa wamekuja Dar anaomba nauli na mahali pa kukutana

Shahidi: 22/7/2020 saa7:51 Denis kwa nauli na chakula kwa wote ni Sh200.000

Shahidi: Mbowe natuma namba gani

Shahidi: Denis 0787555200

Shahidi: Mbowe ni namba ya nani?

Denis: Namba yangu

Shahidi: Denis uliyotumia juzi

Shahidi: Denis Lakini wewe usitumie namba yako

Shahidi: Mbowe: Ok

Shahidi: Mbowe wakiwa around Mlandizi watume sms wanafika muda gani nitatuma gari kuwapokea Ubungo

Shahidi: Denis: niwape namba gani muweze kuwasiliana?

Shahidi: Siku hiyo 3 Mbowe namba ninayotumia unumbe ni ya dereva wangu wamtafute yeye

Shahidi: Denis sawa, nitumie hiyo namba baadaye Denis

Shahidi: Tayari nimeipata

Shahidi: Denis: Nashukuru nimeelewa nitawapa hiyo namba.

Shahidi: Saa 12:20 jioni Denis: Tayari wameshaondoka wanakaribia Ruvu

Shahidi: Denis wale vijana wengine nimewapata Mwanza, Mtwara na Dodoma

Shahidi: Denis: Naomba kushauri uwe unanitumia fedha za kutosha kwa ajili ya ku-mobilize

Shahidi: Mbowe: kaka bado niko kamati kuu tuma ujumbe please.

Shahidi: Denis: Kuna MSG nilizokutumia kuhusu wale vijana wengine ambao wako tayari.

Shahidi: 13/7/2020 Denis: Naomba rejea msg zangu za jana usiku

Shahidi: 23/7/2020 saa 1:03 jioni Urio anapokea ujumbe wenye jina la Mohamed Abdillahi Ling'wenya

Shahidi: Urio: Mbona hujatuma majina na picha ya Adamoo ( Adamu Hassan Kasekwa, mshtakiwa wa pili?

Shahidi: Baadaye Urio apokea picha nyingine Kisha ujumbe usemao Adamu Hassan Kasekwa

Baada ya shahidi kumaliza kusoma ripoti hizo wakili Hilla anaomba ahirisho.

Jaji Tiganga anaahirisha kesi hiyo hadi saa 7:55 mchana huu ili upande wa mashtaka uendelee kumuongoza shahidi wake kutoa ushahidi wake.

Mahakama imerejea kwaajili Shahdi kuendelea kuhojiwa na wakili wwa serikali Piusi Hilla.

Shahidi: Baada ya kumaliza kufanya uchunguzi vielelezo hivi nilivifunga na kufihifadhi sikuviona tena hadi jana Ijumaa Januari 17.

Shahidi: Ijumaa iliyopita nilipigiwa simu na Inspekta Swilla kutakiwa kuja kutoa ushahidi kuhusiana na uchunguzi niliofanya.

Shahidi: Nilienda kuangalia kwenye register ya maabara ili kufahamu na Jumatatu tuliwasiliana aliniletea vielelezo.

Shahidi: Vielelezo hivyo ni simu nane na kwakuwa nilizifanyia kazi kwa kuangalia stika zilizokuwa kwenye simu zile…..

Shahidi: Hali ya vielelezo hivyo niliona jina langu na juu ya bahasha ilikuwa imeandikwa kwa makapeni.

Shahidi: Nilivihifadhi kwenye begi langu kwaajili ya usalama na kuja navyo mahakamani kwa ajili ya kuvitolea ushahidi.

Shahidi: Lakini jana kutokana na changamoto ya kiafya, nilirudi navyo na kwenda kuvihifadhi ofisini Kitengo cha uchunguzi wa kisayansi katika makao Makuu ya Polisi ya zamani na leo
Kuna neno gani baya sasa hapo? Mi nilijua labda wanajadili kumuua mtu... lakin nitumie nauli 🙄
 
Kuna neno gani baya sasa hapo? Mi nilijua labda wanajadili kumuua mtu... lakin nitumie nauli 🙄
Sioni hatari yoyote maana hajaongeza maneno yoyote kwenye mwenendo zaidi ya sehemu kidogo kama hiyo kutojumuishwa. Binafsi niliuhitaji Sana huo ushahidi na Kwa vile Jana sikwenda mahakamani niliusaka na kuupata kirahisi tu. Soni cha maana cha kumconvict Mbowe Kwa mawasiliano yasiyoanika chochote. Au unadhani Urio kusema usitumie namba yako ndo Ugaidi?
 
Ahsante kwa taarifa...
Jamaa wapotoshaji sana hawa- tazama wanavyojitetea
Sioni hatari yoyote maana hajaongeza maneno yoyote kwenye mwenendo zaidi ya sehemu kidogo kama hiyo kutojumuishwa. Binafsi niliuhitaji Sana huo ushahidi na Kwa vile Jana sikwenda mahakamani niliusaka na kuupata kirahisi tu. Soni cha maana cha kumconvict Mbowe Kwa mawasiliano yasiyoanika chochote. Au unadhani Urio kusema usitumie namba yako ndo Ugaidi?
 
Kwa vile Nape karudi Habari tumuombe aiOmbe mahakama kesi iwe live TBC- NATOA HOJA
CCM haijawahi kukubali kuwa live kwenye Mambo yanayoivua nguo kama hii kesi ya Mchongo. Hii kesi imelidhalilisha mno Jeshi la Polisi ambalo siku hizi ndo mkono wa kuume wa CCM.
 
JUMBE fupi za maneno (meseji), zinazodaiwa kuwa za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya washtakiwa wenzake, katika kesi ya ugaidi inayowakabili, zimesomwa kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea).
Sasa mtu anasema ameamua kutuajiri kabisa na mshahara kila mwezi..kuna ugaidi gani hapo?
 
CCM haijawahi kukubali kuwa live kwenye Mambo yanayoivua nguo kama hii kesi ya Mchongo. Hii kesi imelidhalilisha mno Jeshi la Polisi ambalo siku hizi ndo mkono wa kuume wa CCM.
Mkuu naomba link ya jana yaliojiri mahakamani tafadhari
 
CCM haijawahi kukubali kuwa live kwenye Mambo yanayoivua nguo kama hii kesi ya Mchongo. Hii kesi imelidhalilisha mno Jeshi la Polisi ambalo siku hizi ndo mkono wa kuume wa CCM.
Mkuu mie naona baada ya kuona Kibatala hawezi kushida kesi mlichoamua ni-
1. chafua polisi;
2. giribu jamii kwa kuwapa taarifa ambazo siyo kamili au za upande wa Mbowe tu
3. chafua mahakama kupitia huu mnaouita MCHONGO na mashahidi kama yule LEMBURUSI (!?)
Ila haya yote hayasaidii- Mahamani usiende kujibu ushahidi wewe peleka ushahidi dhidi ya ushahidi
mahakamani usiende kusahihisha ushahidi- wewe peleka ushahidi wa kukuokoa wewe
 
Purely Rubbish..Hakuna Ushahidi Hapo..
Yaani ukisoma utaona ni kusumbua mahakama. Ukisoma hayo maelezo ya yalidukuliwa kwenye hizo simu utaona mbowe hakuna mahali amehamasisha watu au jamii kufanyafujo au kuwatuma kuvunja sheria.

Kutafuta kibarua ni Jambo la kawaida. Mbowe alikuwa anatafuta watu afanye nao kazi. Hii kesi waliiemdea kichwa kichwa kwa kumhisi mbowe angeweza kufanya uhalifu. Na Kama angekuwa na nia mbaya asingewasiliana na urio ambayo yuko serikalini.
 
Kwa akili ndogo kabisa, unadhani ni possible kuandika document yote anayosoma shahid? unafakiri hata jaji huwa anaandika mambo yote yanayosomwa kwenye hyo document wakati nakala anayo? kikubwa ni mtiririko wa cross examination baada ya document kusomwa?.Just be logical
Mkuu tuwe waungwana kidogo basi- yaani mleta update anaweza kutuandika shahidi anajiumauma ILA anashindwa kutuandikia alichosoma shahidi baada ya vielelezo kupokelewa. BASI NI MTU VERY ILLOGICAL
 
Mbona mwandishi anarukaru. Hii hapa iko mwananchi ila hapa hamna

Taarifa ya Uchunguzi:

Shahidi: 13/8/2020 Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi ikipokea barua na vielelezo simu nane pamoja na simu card zake kwa ajili ya uchunguzi kubaini Mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii Kama vule Whatsapp, Telegram, unumbe mfupi na kupiga nakupigiwa katika namba za simu zilizotangulia,
Inaonekana mwenzetu, ama masikio yana shida au uelewa wako unaishia karibu sana.

Hizo msg ndizo zinazomsafisha Mbowe. Msg zinasema wataajiriwa kabisa, ataambatana nao kwenye misafara yake. Sasa hapo kuna uthibitisho wa ugaidi? Huyo amekuja kumsafisha Mbowe badala ya kumtia kwenye hizo hatia za kutengenezwa.
 
Mkuu sasa nini sababu ya kutoziweka kwenye updates?
 
Back
Top Bottom