CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

Mbona mwandishi anarukaru. Hii hapa iko mwananchi ila hapa hamna

Taarifa ya Uchunguzi:
Mfungeni labda tutapata madawa, maji safi, bei nzuri za mazao, umeme wa uhakika, na mbolea kwa bei nafuu. Huyu FAM ametuchelewesha sana
 
Mkuu sisi tunafatilia tu mwenendo wala siyo kazi yetu kuhukumu ILA tunalohoji ni kwa nini huyo msamalia mwena aliyejitolea kuacha kazi ya kutafuta riziki atumpe mwenendo nusu nusu?! Lengo lake ni nini? Kwa maoni yangu lengo ni kuyumbisha mtazamo wa jamii kuwa upande wa mashitaka hauna ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake
Kwanza ushahidi haupo!
Pili hii kesi ni tuition tosha kwa watumiaji wa mitandao ya simu.
Tatu, utofauti wa taarifa unakuwa mkubwa kadri watoa taarifa wanavokuwa wengi. Na zingatia kuwa ripotaz hatuwajawapa ToRs.

Rejea vitabu vya Injili ya Yesu. Utaona matukio na mazingira yale yale yameelezwa kwa namna tofauti.
 
Tukipata taarifa tofauti tunapata nafasi ya kulinganisha na tumegundua nyie CHADEMA hamleti kwa ukamilifu na lengo lenu ni
1. kupotosha jamii
2. kupata huruma ya jamii
3. kuonyesha Mbowe anaonewa na hakuna ushahidi kabisa kwa vile ule unaomgusa mnautoa kwa visingizio kama hivi ulivyoleta
4. mnataka hukumu ikitolewa muanze oh hukumu michongo

Ukitaka marehemu atambuliwe kwa uhakaika na bila mashaka onyesha mwili mzima na siyo miguu
 
Mfungeni labda tutapata madawa, maji safi, bei nzuri za mazao, umeme wa uhakika, na mbolea kwa bei nafuu. Huyu FAM ametuchelewesha sana
Mbowe si wa kwanza kufungwa kwani hata juzi 5000 wamesamehewa kwa hiyo jela zipo na watu wako huko
 
Tukipata taarifa tofauti tunapata nafasi ya kulinganisha na tumegundua nyie CHADEMA hamleti kwa ukamilifu na lengo lenu ni
1. kupotosha jamii
2. kupata huruma ya jamii
3. kuonyesha Mbowe anaonewa na hakuna ushahidi kabisa kwa vile ule unaomgusa mnautoa kwa visingizio kama hivi ulivyoleta
4. mnataka hukumu ikitolewa muanze oh hukumu michongo

Ukitaka marehemu atambuliwe kwa uhakaika na bila mashaka onyesha mwili mzima na siyo miguu
Mwendazake mlimuoneshaga kwani??
 
CCM haijawahi kukubali kuwa live kwenye Mambo yanayoivua nguo kama hii kesi ya Mchongo. Hii kesi imelidhalilisha mno Jeshi la Polisi ambalo siku hizi ndo mkono wa kuume wa CCM.
Siyo mkono wa kuume tu, bali ndio sanduku lao la kura. Kwa Sasa CCM hawawezi kushinda uchaguzi wowote kwa kutegemea sanduku la kura halisi, sanduku lao la kura ni TISS na Polisi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sikujua- na yaho ndiyo madhara ya kutaka kuishi Kidola wakati huna dola
Hapa ndo imeonesha akili yako ya siku zote. Akili za kibusara ilizoanza nazo asubuhi hazikuwa halisi. Kwa akili yako unategemea Mbowe aajiri mlinzi kiholela Kwa kutangaza nafsi ya Ajira kwenye gazeti la serikali?
 
Ila njia halali kwake ni kwenda jeshini ( serikali) kutumia mwanajeshi (serikali) atafutiwe wastaafu wa jeshi ( serikali) kupata walinzi? Halafu unatuambia hapa Mbowe hawezi kutumia serikali- Mkuu tuheshimu basi kidogo au kama hutaki kutuheshimu heshimu basi JF
 
Kama hakuna la maana mbona mnazificha tusizione?
Kama zilisomwa mahakamani na kusikilizwa na wahudhuriaji wote zimefichwaje? Nani mwenye jukumu la kuziweka kwenye media?
 
Back
Top Bottom