CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

Kama zilisomwa mahakamani na kusikilizwa na wahudhuriaji wote zimefichwaje? Nani mwenye jukumu la kuziweka kwenye media?
Si nyinyi viherehere
 
Huyu mleta mada comte, ameshindwa kutuonesha hata neno moja ktk jumbe hizo linalo ashiria njama za kupanga ugaidi, zaidi
Mimi siyo mahakama wala hakimu- wewe baki na hukumu yako ila ikitolewa yenyewe na wenyewe usilie
Mimi sijahukumu, nimekutaka wewe kwa uwezo wako wa uchambuzi "huru" utuoneshe neno lenye element ya hisia ya kupanga ugaidi.

Kuhusu "wenyewe" kutoa hukumu kama ulivyo tumia istilahi "wenyewe" ndilo tegemeo la maksudi la "wadhalimu" kutimiza malengo yao na hili linatarajiwa, maana hata wewe mwenyewe kwa majibu yako unaonesha nafsi imekwisha nusa udhalimu huo Ndiyo maana ukatumia istilahi ya "hukumu ya wenyewe" na si chombo huru.
 
Kuna umuhimu gani kwa Mbowe kukusanya makomandoo waliofukuzwa jeshini?

Ni kwa umuhimu gani wa kipekee alionao mbowe tofauti na wenyeviti wenzake ambao hawalindwi na Makomandoo?

Tutajuaje kama hao makomandoo wamekwishatumika huko nyuma kwa matukio ovu dhidi ya mahasimu au kwa malengo maalumu ya chadema na kisha kuipakazia serikali?

Wacheni mashahidi wote ishirini wamalize kutoa ushahidi,nyie endeleeni kuokoteza na kuripoti hii movie yenu ya Vioja Mahakamani.

Mwisho utajulikana soon!
 
Ni sheria gani inazuia hao makomandoo walioachishwa kazi kuajiriwa na kufanya kazi sehemu nyingine?

Umuhimu wa Mbowe kulindwa na makomandoo wanajua wao maadamu hakuna sheria iliyokiukwa.

Ama kuhusu makomandoo kutumika katika matukio maovu huko nyuma havihusiani maana kama walishahukumiwa au hawakuhukumiwa haiwezi kuwa sehemu ya ushahidi wa ugaidi wa shitaka la Mbowe na pia si sababu ya kuwazuia wasitafute kazi ya kuwaingizia kipato.

Ndiyo maana sasa sisi yetu macho na masikio yako mahakamani kusikia na kuona ushahidi huo huku tukijiridhisha nao na si blaa blaa hizi ambazo hadi sasa hatuuoni huo ushahidi wa ugaidi.
 
Wapotoshaji wabambokaji kama wewe ndio tunaowamilika🤔.
 
Of course mbona hilo liko wazi. Angali mwenendo wo kuripoti maendeleo ya kesi mahakamani!
Lakini zaidi angalia clip au text fupifupi za kupotosha na kujenga image potofu juu ya ukweli wa kesi zinavyosambazwa kwenye magroup ya whatsap.
Binafsi hilo halinishangazi sababu siasa za CHADEMA hasa tangu 2015 zimejengwa juu ya propaganda za kudanganya, kujenga chuki, kuaminisha uongo, hasa kupitia social media lakini na channel nyingine.
 
Mkuu sijui mengine mnayatoa wapi- hoja yangu siyo tujadili kuhusu nani mkweli na ni nani muungo. Hoja yangu ni kwa nini mleta update alete taarifa nusunusu- anaficha nini? Ni kitu gani hataki tukijue? na KWA NINI?
Toka kesi inaanza kuna mibarua kibao zinawakilishwa kahakamani. Mleta update anatuambiaga shaidi anasoma barua/document lakini hatuambii kile kinachosomwa. Na siku zote hulalamiki, kwanink leo unalalamika??
 
Toka kesi inaanza kuna mibarua kibao zinawakilishwa kahakamani. Mleta update anatuambiaga shaidi anasoma barua/document lakini hatuambii kile kinachosomwa. Na siku zote hulalamiki, kwanink leo unalalamika??
nimepata version iliyokamilika tofauti na upotoshaji wa kumkinga GAIDI Mbowe
 
Yule aliyeleta updates humu jana- hakuweka kabisa alichosoma shahidi baada ya vielelezo kupokelewa. REASON?
kwa hiyo we fara mwenendo wa hii kesi unafuatilia JF tu? hayo ma msg tuliyasoma jana na kiufupi ushaidi wa jana ni mendelezo wa upuuzi wa serikali , hakuna ushaidi ulioonyesha hata dhumuni tu la kupanga ugaidi zaidi ya mbowe kutafuta walinzi binafsi.
Halafu huyo urio ni mtu mbaya kama alikuwa na nia njema na nchi yake na raia wake sana unawezaje kuwachukua watu raia wema waliokuwa na shughuli zao nyingine halali baada ya kufutwa jeshini na kuwasingizia kesi hii. Hivi kweli Raia mwema wa nchi anaweza kweli kumuuza raia mwenzake mwema kama alivyofanya Urio?
Nashanaa sana na intelliencia ya nchii ii yaani DCI anapewa taarifa kwamba mtu anataka kufanya ugaidi halafu anaambiwa eti nenda kaendelee naye.
Uwongo wao upo hivi baada ya taarifa za Urio kama ni za kweli DCI aneweza kuteua vijana wake undercover au angeweza kuwasiliana na mkuu wa majeshi akampatia ma intelliencia wa jeshi ili wapelekwe wakaajiriwe na mbowe. Hao ndio wangetakiwa wapeleleze na kujua ukweli wa taarifa ya urio na sio na kilichofanyika cha kuwa implicate vijana raia wema akina kusekwa ambao walifukuzwa jeshi na kuwaingiza kwenye shughuli haramu bila conset yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…