Pre GE2025 CHADEMA kujifungia kwa saa 48 kujadili Azimio la Mtwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kwa hiyo unataka wakiandamana wachome hayo ma V8 yenu moto ndo mchukue hatua?
 
Ulitaka mabadiliko yaje saa hiyo hiyo uko kichwani una akili au togwa?.Yale ni maandamano ya amani na lengo ni kujenga awarenes kwa wananchi na serikali kwa hoja zilizokua zimekusudiwa.sasa kama hayakuleta mabadiliko sio wewe wakusema bali muda ndio utakao ongea.Ukiwa na akili ndogo huwezi kuona mabadiliko ila subiri muda utakuonyesha kilichobadilika wewe endelea kukariri.
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu.
Chadema ikishiriki uchaguzi kwa tume hii itakuwa ni kubariki mikakati ya ukandamizaji wa haki za kuchagua na kuchaguliwa inayoandakiwa na huyu mama.

Kama kweli anataka 4R kwann hataki katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi? Samia is a ruthless dictator in a smiling face.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…