Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
hizi takwimu kuwa hakuna mtu atakwenda kupiga kura huwa mnazitoa wapi?Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na m
Huku mtaani kwangu cjawah kuona wakiongea khs uchaguzi, chadema kususia uchaguzi, vyama vingine kushiriki uchaguzi, kwa ufupi n kila mtu ana pambana na maisha yake.
Chama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa md
WE UTAKUNYIA KITANDANI KWA SABABU YA NDOTO ZAKO, AMKE UNYE.. TOKA NDOTONI.Chama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
Unagomea slogan ya taifa?Huku mtaani kwangu cjawah kuona wakiongea khs uchaguzi, chadema kususia uchaguzi, vyama vingine kushiriki uchaguzi, kwa ufupi n kila mtu ana pambana na maisha yake.
wanapanga kuwagawia CHAUMMA vibegi vya kura feki!Chama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
chama kikuu cha upinzani kujitoa kwenye uchaguzi ni kwamba wananchi wengi wa chama hicho hawato piga kura hizi ni takwimu nilizo zitumia kutakuwq kuna wimbi kubwa la wananchi wasiopiga kura.hizi takwimu kuwa hakuna mtu atakwenda kupiga kura huwa mnazitoa wapi?
Wamejiondoa au wameondolewaChama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
Watu wataenda wale wachumia tumbohizi takwimu kuwa hakuna mtu atakwenda kupiga kura huwa mnazitoa wapi?
Wanaposema no reforms no election wanamaanisha wameondolewa au wamejiondoa hapo ?Wamejiondoa au wameondolewa
Hujui maana yq NO reforms No election , hoja za upinzan zinalenga nguvu ya kura yako ila ww unauza uhuru wakoWamejiondoa au wameondolewa