Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
- Thread starter
- #41
Nafikiri lissu angeshinda anakubalika anahoja za msingi na maono.Tuambie hapa wagombea wa ngaza za juu kupitia CHADEMA ambao wangeweza kushinda uchaguzi
Nafikiri lissu angeshinda anakubalika anahoja za msingi na maono.Tuambie hapa wagombea wa ngaza za juu kupitia CHADEMA ambao wangeweza kushinda uchaguzi
sawa sawahuo ukuu mmepewa na nani endeleeni kujidanganya
Kwani anategemea kura? Kumbuka pesa nyingi sana za umma zinaibiwa, na sehemu yake zitatumika kuhonga vyombo vya habari, na chawa ili watoe hamasa kwa watu kwenda kupiga kura. Ifahamike kuna kundi kubwa la wajinga, hivyo wao wanafuata chochote kwa mazoea, usitegemee wengi wana uelewa wa mambo kama sisi.Yeah, sio watu wote watakosekana wa kupiga kura ila katika uhalisia chama cha upinzani kikuu kujiondoa kwenye uchaguzi iitapelekea watu wengi kujiondoa kwenye uchaguzi pia kwasababu hata mgombea wa chama tawala hakubaliki na wananchi.
Pamoja na hayo hali inaweza kuwa tofauti kidogo tofauti na chaguzi zilizopita za janja janjaKwani anategemea kura? Kumbuka pesa nyingi sana za umma zinaibiwa, na sehemu yake zitatumika kuhonga vyombo vya habari, na chawa ili watoe hamasa kwa watu kwenda kupiga kura. Ifahamike kuna kundi kubwa la wajinga, hivyo wao wanafuata chochote kwa mazoea, usitegemee wengi wana uelewa wa mambo kama sisi.
Sasa subiri uone ni kwa kiwango gani taasisi nyingi za nchi hii zilivyoharibika, utashangaa wapiga kura watakuwa chini ya milioni saba, lakini atatangazwa kupata kura 15m+, na watasema kashinda kwa 95% na watajitokeza watu wengi kushangilia huo uhuni!
Mpaka hapa mambo yashakuwa magumu kwa kijaniTekniki waliyoitumia CHADEMA kutoshiriki uchaguzi naona inaweza zaa matunda.
Kama kweli watu wamedhamiria mabadiliko hawatoenda Kupiga KURA.
KURA zinazoibwa sijui zitatolewa WAPI awamu hiii
Maana kura za wanaoziiiba HAZIPO wamejitoa.
Wakitangaza Ushindi Tutapiga hesabu za Wangapi hawakupga Kura na Wangapi wamepiga.
Tukipata WENGI ni wasio piga KURA bomu linalipuka...
POLISI wajiandaee huu mwaka.
Hatuongelei nani anaweza kushinda, tunazungumzia integrity ya uchaguzi. Kuna watu walikuwa wanapotosha kutufanya hatukuona upuuzi uliofanyika kwenye uchaguzi wa 2020, kwa kusema hakukuwa na wa kumshinda Magufuli, lengo ilikuwa ni kutupoteza maboya tusiongelee ukweli wa upuuzi uliofanyika kwenye uchaguzi ule. Ni sawa na mwanafunzi mwenye akili sana akutwe na majibu ya maswali kwenye chumba cha mtihani, kisha useme kwa kuwa alikuwa na akili lazima angefaulu tu.Tuambie hapa wagombea wa ngaza za juu kupitia CHADEMA ambao wangeweza kushinda uchaguzi
Hata kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi bado kila mtu angeendelea kupambana na maisha yake.nimeshuhudia hata wapinzani ktk chaguzi wanauza majimbo,kata wanasepa yanabaki wazi CCM wanapita na kupelekea malalamiko kwa wananchiHuku mtaani kwangu cjawah kuona wakiongea khs uchaguzi, chadema kususia uchaguzi, vyama vingine kushiriki uchaguzi, kwa ufupi n kila mtu ana pambana na maisha yake.
Hadi sasa kitendo cha cdm kujitoa muhanga kwa kugoma kusaini kanuni za uchaguzi wa kihuni kumeshatia doa uchaguzi mzima. Ndio maana unaona hujuma za wazi za dola kww cdm. Na hata ukienda kuona idadi ya watu wanaojiandikisha/kuhakiki kupiga kura ni duni sana.Pamoja na hayo hali inaweza kuwa tofauti kidogo tofauti na chaguzi zilizopita za janja janja
Dunia nzima imenyooshea vidole samia na anaonekana hakubariki analazimisha.Hadi sasa kitendo cha cdm kujitoa muhanga kwa kugoma kusaini kanuni za uchaguzi wa kihuni kumeshatia doa uchaguzi mzima. Ndio maana unaona hujuma za wazi za dola kww cdm. Na hata ukienda kuona idadi ya watu wanaojiandikisha/kuhakiki kupiga kura ni duni sana.
hizi takwimu kuwa hakuna mtu atakwenda kupiga kura huwa mnazitoa wapi?
Mm sijawahi kupiga kura na wala sitokaa nipige kura, Ila haimaanishi niwapinge ambao wanataka/hawataki kupiga kura.Unagomea slogan ya taifa?
Chaumma chama cha Kibiashara zaidi ya mabadiliko.Chadema zilipendwa, chama Kikuu ch a upinzani ni Chaumma
Ww ukipiga kura kuna faida & hasara gani?Na kwa kifupi hao wafu wa mtaani kwako hawana impact ni kama watu, ndo wale Kenyata aliwaongelea, Si unaishi lake Eyasi kwa wa Hadzabe? Kwa Chaaba na Duduqe
Chama kikuu cha upinzani ni ACT wazalendo,wana mpaka makamu wa Rais.Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakayeenda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni Rais, hakuna Rais bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe Rais huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa Rais bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
Huu ndio ukweliHIVI MNAFIKIRI KWAKUTUMIA NINI AKILI AU MATOPE? MNA AKIL KICHWANI KWELI? HAO JUWA KUNA WAFUASI WA CHADEMA NA WA CHAUMA NA WA CCM YAAANI CHADEMA WAJITOE HALAFU NA WA CCM WASIPIGE KURA? NA WA CHAUMA WASIPIGE KURA? TENA SUBIRINI MUONE WATU WANAVYOCHUKUA UBUNGE WA UPINZANI HADI MTAJIONA NI JINSI GANI MLIVYO WAPUMBAVU