hizo ni ndoto zako wenzako tunakula ubwabwa endelea kususa mahangaiko bila posho ni kuchezea maishaChama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
Huaoni wantengeneza upinzani wao kupitia ChaumaChama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
HIVI MNAFIKIRI KWAKUTUMIA NINI AKILI AU MATOPE? MNA AKIL KICHWANI KWELI? HAO JUWA KUNA WAFUASI WA CHADEMA NA WA CHAUMA NA WA CCM YAAANI CHADEMA WAJITOE HALAFU NA WA CCM WASIPIGE KURA? NA WA CHAUMA WASIPIGE KURA? TENA SUBIRINI MUONE WATU WANAVYOCHUKUA UBUNGE WA UPINZANI HADI MTAJIONA NI JINSI GANI MLIVYO WAPUMBAVUChama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
MNAUMWA MAVI NYIEKwakweli sumu imeshawaingia wananchi hata ssm wenyewe hawataingia kwenye uchaguzi
Mimi sio maskini au njaa kama wewe, nipo mstari wa mbele kupigania haki pekee kwaajili yako wewe maskini. kwa hizo hoja zako za ubwabwa na posho ni ukosefu wa elimu.hizo ni ndoto zako wenzako tunakula ubwabwa endelea kususa mahangaiko bila posho ni kuchezea maisha
Wewe wasema sisi ni wapumbavu kwa kuhamasisha uwepo wa haki nchini na sio ubunge usiokuwa na msaada wowote kwako wewe maskini, kama mbunge atachukua ubunge bila haki hakuwezi kuwa na uwajibikaji hawezi kukusaidi kitu wewe maskini je mimi na wewe nani mpumbavu ?HIVI MNAFIKIRI KWAKUTUMIA NINI AKILI AU MATOPE? MNA AKIL KICHWANI KWELI? HAO JUWA KUNA WAFUASI WA CHADEMA NA WA CHAUMA NA WA CCM YAAANI CHADEMA WAJITOE HALAFU NA WA CCM WASIPIGE KURA? NA WA CHAUMA WASIPIGE KURA? TENA SUBIRINI MUONE WATU WANAVYOCHUKUA UBUNGE WA UPINZANI HADI MTAJIONA NI JINSI GANI MLIVYO WAPUMBAVU
wewe pambania haki ukiipata unijulishe ila sisi tunaendelea kula ubwabwa biriani na kesho tuko zanzibar kwenye ubaya ubwelaMimi sio maskini au njaa kama wewe, nipo mstari wa mbele kupigania haki pekee kwaajili yako wewe maskini. kwa hizo hoja zako za ubwabwa na posho ni ukosefu wa elimu.
Haya matamanio yako hayawezi kutimia, ukisema watanzania wengi hawatashiriki uchaguzi utakuwa sahihi. Watu watajitokeza kwenda kupiga kura, labda tatizo liwe idadi lakini sio kukosekana wapiga kura. Kwa bahati mbaya katiba yetu haisemi kiongozi wetu anahitaji idadi gani ya kura ili kuwa kiongozi, ili mradi uchaguzi umefanyika, na mwenye kura ngingi kwenye kura zilizopigwa ndio atatangazwa mshindi.Chama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
Upo sahihi kukataa haki na kuchagua ubwabwa kwa kiwango cha akili ulicho kionesha.wewe pambania haki ukiipata unijulishe ila sisi tunaendelea kula ubwabwa biriani na kesho tuko zanzibar kwenye ubaya ubwela
Uongo! Kwa sasa Chama Kikuu cha Upinzani ni CHAUMMAChama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
Lazima pumzi ikatike mwaka huu,ubwabwa tunakula na t shirt zetu junajidai na kula zitapigwa tu na mshindi atatangazwaHaya matamanio yako hayawezi kutimia, ukisema watanzania wengi hawatashiriki uchaguzi utakuwa sahihi. Watu watajitokeza kwenda kupiga kura, labda tatizo liwe idadi lakini sio kukosekana wapiga kura. Kwa bahati mbaya katiba yetu haisemi kiongozi wetu anahitaji idadi gani ya kura ili kuwa kiongozi, ili mradi uchaguzi umefanyika, na mwenye kura ngingi kwenye kura zilizopigwa ndio atatangazwa mshindi.
Kwasababu watu hawana uwezo wa kuzuia uchaguzi kwani hawana silaha, na uchaguzi hulindwa na kuibiwa kwa msaada wa bunduki, kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha watu wengi hawajitokezi kupiga kura, na kutowapa ushirikiano watakaotangazwa washindi kwenye uchaguzi huo. Ikiwezekana na kutengeneza mazingira ya kutoshirikiana kijamii, kama kutoshiriki sherehe ama misiba kiitadi. Hali ikiwezekana tutapata mabadiliko bila watu kupata vilema, kuuwawa na hata kuharibiwa maeneo yao ya kuwapatia vipato.
Yeah, sio watu wote watakosekana wa kupiga kura ila katika uhalisia chama cha upinzani kikuu kujiondoa kwenye uchaguzi iitapelekea watu wengi kujiondoa kwenye uchaguzi pia kwasababu hata mgombea wa chama tawala hakubaliki na wananchi.Haya matamanio yako hayawezi kutimia, ukisema watanzania wengi hawatashiriki uchaguzi utakuwa sahihi. Watu watajitokeza kwenda kupiga kura, labda tatizo liwe idadi lakini sio kukosekana wapiga kura. Kwa bahati mbaya katiba yetu haisemi kiongozi wetu anahitaji idadi gani ya kura ili kuwa kiongozi, ili mradi uchaguzi umefanyika, na mwenye kura ngingi kwenye kura zilizopigwa ndio atatangazwa mshindi.
Kwasababu watu hawana uwezo wa kuzuia uchaguzi kwani hawana silaha, na uchaguzi hulindwa na kuibiwa kwa msaada wa bunduki, kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha watu wengi hawajitokezi kupiga kura, na kutowapa ushirikiano watakaotangazwa washindi kwenye uchaguzi huo. Ikiwezekana na kutengeneza mazingira ya kutoshirikiana kijamii, kama kutoshiriki sherehe ama misiba kiitadi. Hali ikiwezekana tutapata mabadiliko bila watu kupata vilema, kuuwawa na hata kuharibiwa maeneo yao ya kuwapatia vipato.
Time is nowMiaka mingi nyuma nilitamani upinzani wasusie uchaguzi..
Tuambie hapa wagombea wa ngaza za juu kupitia CHADEMA ambao wangeweza kushinda uchaguziChama kikuu cha upinzani cha Chadema kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakaye enda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni raisi, hakuna raisi bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe raisi huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa raisi bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.
wewe mwenye akili endelea kupambana unaKomplicate maisha tu,piga ubwabwa weeee acha kususa wenzio twalaaUpo sahihi kukataa haki na kuchagua ubwabwa kwa kiwango cha akili ulicho kionesha.
Chadema BChadema zilipendwa, chama Kikuu ch a upinzani ni Chaumma
Sawa sawaUongo! Kwa sasa Chama Kikuu cha Upinzani ni CHAUMMA
huo ukuu mmepewa na nani endeleeni kujidanganyaYeah, sio watu wote watakosekana wa kupiga kura ila katika uhalisia chama cha upinzani kikuu kujiondoa kwenye uchaguzi iitapelekea watu wengi kujiondoa kwenye uchaguzi pia kwasababu hata mgombea wa chama tawala hakubaliki na wananchi.