PreGE2025 CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ubunge watachukua bila legitmacy. Ni udalali na kiini macho. Ndiyo maana baadhi ya wananchi huenda wasiende kwenye debe.
 
Wameshaanza kutuma SMS kuhamasisha watu wakajiandikishe!
Yaani mwaka huu bi chura atajua hajui!
 
Unataka kusema tunafanya uchaguzi 2020?
 
Lissu sio Lipumba
 
Watakachoenda kupiga kura ni wanaccm pekee, Kwa sasa watakaopita kwenye kura za maoni ndo washindi, wananchi hawawezi kuingia kwenye maigizo ya uchaguzi kamwee
 
Uchaguzi umeshavurugika, kila kitu kipo hovyo. Lissu katengeneza jambo linaigharimu nchi. Nashauri akubali kuingia kwenye uchaguzi nchi itulie
 
Uchaguzi umeshavurugika, kila kitu kipo hovyo. Lissu katengeneza jambo linaigharimu nchi. Nashauri akubali kuingia kwenye uchaguzi nchi itulie
Hakika yaaani hakuna kinachoondelea maana kwa sasa hakuna wanaoenda kujiandikisha wala kuhakiki taarifa za kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…