MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Inasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu. Nabii feki Lema ambaye ni kiongozi mkubwa CHADEMA alitukanwa mtandaoni na wafuasi wa chama chake baada ya kumkosoa Polepole.
Mange na Maria hawafai kuwa viongozi wa chochote zaidi ya kuwa viongozi wa familia zao kwenye cheo cha mama. Hawa wanawake ni watu wanafiki kupitiliza. Ikumbukwe wote ni watoto wa waliokuwa vigogo wakubwa wa CCM ambapo moja kwa moja inamaanisha Mange na Maria ni wanufaika wakubwa wa CCM na serikali zake. Kamwe hawawezi wakaichukia CCM kwa moyo wo wote. Ugomvi wao mkubwa na CCM ni wa kimaslahi. Ni suala la muda tu wao kupatana na CCM. Kumbukeni mwaka 2015 jinsi Mange alivyomshambulia mgombea wa CHADEMA hayati EL na kumdhalilisha kadiri alivyoweza.
Kwa tabia zao mbaya walizo nazo wamekosa uhalali wa kimaadili kuongoza umma wa watanzania. Mange na Maria ni watu wanaosapoti kwa 100% mapenzi ya jinsia moja. Kupitia wao tunaona watu wengi wa LGBTQ wakikisapoti CHADEMA. Hii ni kuharibu kabisa taswira ya chama. Mange ni mtu katili aliyevuruga maisha ya watu wengi sana kupitia blackmailing. Kaingilia faragha za watu wengi. Ndoa nyingi zimevunjwa na Mange.
Familia ya Hayati Lemutuz imevurugwa mno na Mange. Siku za mwisho za uhai wa Lemutuz alitaka kutengeneza amani na familia yake ila Mange aliingilia kati na Lemutuz aliishia kutukanwa na mtoto wake wa kumzaa. Siku chache baadae Lemutuz alifariki akiwa kazuiwa na Mange kupatana na familia yake. Viongozi wa CHADEMA wasubiri tu muda ufike Mange aanze kuwavuruga kwa kuingilia faragha zao.
Kwa wale watakaomtii Mange na kuandamana hiyo 29th October wasije kulilaumu jeshi la polisi kwa kipigo kitakatifu watakachotoa. Hawakwenda CCP kusomea upadri. Kwenye syllabus ya upolisi kuna topic ya kudili na nyumbu za CHADEMA.