GE2025 CHADEMA kukubali kuongozwa na Mange ni kujiamua kujimaliza kisiasa

GE2025 CHADEMA kukubali kuongozwa na Mange ni kujiamua kujimaliza kisiasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Siku mkijitambua ninyi ni WaTanganyika mtamuona Mange yupo sahihi.

Mavazi yake yanahusiana nini na anachokifanya?

Nchi zilizoendelea watu wao wana uhuru na mavazi yao wewe uko hapa 21st century kujadili mavazi ya mtu.

Kukosa Elimu na exposure kunasumbua akili yako ama!

Tanganyika comes first!
Ndiyo huo uhuru hatuutaki. Maana mkitoka kwenye mavazi ya kukaa uchi mnahamia kwenye ushoga kwa sababu miku-ndu ni mali yenu
 
O
Inasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu. Nabii feki Lema ambaye ni kiongozi mkubwa CHADEMA alitukanwa mtandaoni na wafuasi wa chama chake baada ya kumkosoa Polepole.

Mange na Maria hawafai kuwa viongozi wa chochote zaidi ya kuwa viongozi wa familia zao kwenye cheo cha mama. Hawa wanawake ni watu wanafiki kupitiliza. Ikumbukwe wote ni watoto wa waliokuwa vigogo wakubwa wa CCM ambapo moja kwa moja inamaanisha Mange na Maria ni wanufaika wakubwa wa CCM na serikali zake. Kamwe hawawezi wakaichukia CCM kwa moyo wo wote. Ugomvi wao mkubwa na CCM ni wa kimaslahi. Ni suala la muda tu wao kupatana na CCM. Kumbukeni mwaka 2015 jinsi Mange alivyomshambulia mgombea wa CHADEMA hayati EL na kumdhalilisha kadiri alivyoweza.

Kwa tabia zao mbaya walizo nazo wamekosa uhalali wa kimaadili kuongoza umma wa watanzania. Mange na Maria ni watu wanaosapoti kwa 100% mapenzi ya jinsia moja. Kupitia wao tunaona watu wengi wa LGBTQ wakikisapoti CHADEMA. Hii ni kuharibu kabisa taswira ya chama. Mange ni mtu katili aliyevuruga maisha ya watu wengi sana kupitia blackmailing. Kaingilia faragha za watu wengi. Ndoa nyingi zimevunjwa na Mange.

Familia ya Hayati Lemutuz imevurugwa mno na Mange. Siku za mwisho za uhai wa Lemutuz alitaka kutengeneza amani na familia yake ila Mange aliingilia kati na Lemutuz aliishia kutukanwa na mtoto wake wa kumzaa. Siku chache baadae Lemutuz alifariki akiwa kazuiwa na Mange kupatana na familia yake. Viongozi wa CHADEMA wasubiri tu muda ufike Mange aanze kuwavuruga kwa kuingilia faragha zao.

Kwa wale watakaomtii Mange na kuandamana hiyo 29th October wasije kulilaumu jeshi la polisi kwa kipigo kitakatifu watakachotoa. Hawakwenda CCP kusomea upadri. Kwenye syllabus ya upolisi kuna topic ya kudili na nyumbu za CHADEMA.
Ongezea pia kigogo, hawa watatu ni maslahi tu yanayowasumbua.
 
CHADEMA ninayeweza labda nikamsikiliza ni dada yenu aliyekuwa jasiri jana mbele ya polisi. Mliobakia wote mvishwe kanga zilizoandikwa KEYBOARD WARRIORS
Mimi sina upuuzi wa vyama, are you that stupid yaani kila asiyeikubali CCM mnadhani ni CHADEMA? Kinachotakiwa ni haki na utawala wa sheria, I don't care nani anatawala. Katika kiti kukiwa na mtu mwenye kujua haki za binadamu, kufuata sheria na mihimili yote ikajisimamia justly hata akiongoza mtu asiye na mrengo wa chama chochote it's well and good.
Hapo nilikuwa nakuonyesha the real translation ya maadili, a picture speaks thousand words.
Screenshot_20250916-172047.jpg
Screenshot_20250904-014226.jpg
 
Feminist wa kiume lazima uunge mkono mafemisist wenzako kina Mange.
Si hauna akili,tazama hata maana ya neno feminist haujui matumizi yake sahihi. Unahisi mimi ni feminist ulishawahi kuniona wapi naandika pigo za kutetea au kusifikia ufeminist 😂 kilaza wahedi wewe.

Ndio maana kazi kubeba mabango ya uchawa tu tabia za kike kike halafu unaniita mimi feminist. Huna akili.

Nenda kwa Google ujifunze matumizi ya neno feminist takataka ya ccm wewe.
 
Uzuri wa jeshi letu la polisi lina makapu mawili tu
1. Ukichagua amani na kutii sheria bila shuruti (kapu hilo polisi mtakaa nao pamoja)
2. Ukichagua vurugu na kutotii sheria (hilo kapu nalo polisi mtakaa nao pamoja kwa staili yake)

NI UHURU WAKO SASA UCHAGUE KAPU UNALOLITAKA..WALE SI WAJUMBE WA KAMATI KUU WALA SI WAFANYAKAZI WA MANGE APP.
Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya kudai haki halali na vurugu, CCM na wafuasi wake wajinga kama wewe mnaamini ueyote asiye amini katika maovu yenu ni mfanya vurugu , kwa hiyo mminye haki za raia kwa maslahi ya wezi wa mali za umma halafu raia wakilalamika mnasema wanavurugu ubinafsi umewajaa au mwalimu wenu wa kwanza aliwapotosha
 
Kama unamuona Mange ana akili kubwa basi hii nchi iko ICU
Duuh kwahiyo kuongozwa na hiyo akili inayodai kwamba deni la taifa linaonekana kubwa kwa sababu linasomwa kwa shilingi ndio unaona nchi iko pazuri siyo
 
Siku mkijitambua ninyi ni WaTanganyika mtamuona Mange yupo sahihi.

Mavazi yake yanahusiana nini na anachokifanya?

Nchi zilizoendelea watu wao wana uhuru na mavazi yao wewe uko hapa 21st century kujadili mavazi ya mtu.

Kukosa Elimu na exposure kunasumbua akili yako ama!

Tanganyika comes first!
Nchi zilizoendelea huwezi kukuta kiongoz kavaa nusu uchi kwenye sehemu official
 
Back
Top Bottom