MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mange ana akili kubwa kuliko hata huyo utakayemtikia oktoba!.

Maria Sarungi anawatupia tonetone anayookota kutoka Ford Foundation na Open Society Foundations ya Georgw SorosInasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu. Nabii feki Lema ambaye ni kiongozi mkubwa CHADEMA alitukanwa mtandaoni na wafuasi wa chama chake baada ya kumkosoa Polepole.
Mange na Maria hawafai kuwa viongozi wa chochote zaidi ya kuwa viongozi wa familia zao kwenye cheo cha mama. Hawa wanawake ni watu wanafiki kupitiliza. Ikumbukwe wote ni watoto wa waliokuwa vigogo wakubwa wa CCM ambapo moja kwa moja inamaanisha Mange na Maria ni wanufaika wakubwa wa CCM na serikali zake. Kamwe hawawezi wakaichukia CCM kwa moyo wo wote. Ugomvi wao mkubwa na CCM ni wa kimaslahi. Ni suala la muda tu wao kupatana na CCM. Kumbukeni mwaka 2015 jinsi Mange alivyomshambulia mgombea wa CHADEMA hayati EL na kumdhalilisha kadiri alivyoweza.
Kwa tabia zao mbaya walizo nazo wamekosa uhalali wa kimaadili kuongoza umma wa watanzania. Mange na Maria ni watu wanaosapoti kwa 100% mapenzi ya jinsia moja. Kupitia wao tunaona watu wengi wa LGBTQ wakikisapoti CHADEMA. Hii ni kuharibu kabisa taswira ya chama. Mange ni mtu katili aliyevuruga maisha ya watu wengi sana kupitia blackmailing. Kaingilia faragha za watu wengi. Ndoa nyingi zimevunjwa na Mange.
Familia ya Hayati Lemutuz imevurugwa mno na Mange. Siku za mwisho za uhai wa Lemutuz alitaka kutengeneza amani na familia yake ila Mange aliingilia kati na Lemutuz aliishia kutukanwa na mtoto wake wa kumzaa. Siku chache baadae Lemutuz alifariki akiwa kazuiwa na Mange kupatana na familia yake. Viongozi wa CHADEMA wasubiri tu muda ufike Mange aanze kuwavuruga kwa kuingilia faragha zao.
Kwa wale watakaomtii Mange na kuandamana hiyo 29th October wasije kulilaumu jeshi la polisi kwa kipigo kitakatifu watakachotoa. Hawakwenda CCP kusomea upadri. Kwenye syllabus ya upolisi kuna topic ya kudili na nyumbu za CHADEMA.
Mange angekuwa ana akili asingekuwa kuwa anaji-post amevaa vichupiMange ana akili kubwa kuliko hata huyo utakayemtikia oktoba!.
Kitendo cha kuandika Mange ana akili kubwa kimemsikitisha sana mzazi wako huko alipo.Mange ana akili kubwa kuliko hata huyo utakayemtikia oktoba!.
Wewe naye punga, sasa kuvaa gauni au kuvaa kichupi kuna uhusiano upi na kuwa na akili ?Mange angekuwa ana akili asingekuwa kuwa anaji-post amevaa vichupi
Mkuu wewe huna hoja zingine zaidi ya kuongelea chama ambacho hata uchaguzi mkuu hakishiriki? Hujioni kuwa umekuwa kama takataka, sikupangii lakini muda huu ulitakiwa kuongelea kuhusu ubwabwaInasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu. Nabii feki Lema ambaye ni kiongozi mkubwa CHADEMA alitukanwa mtandaoni na wafuasi wa chama chake baada ya kumkosoa Polepole.
Mange na Maria hawafai kuwa viongozi wa chochote zaidi ya kuwa viongozi wa familia zao kwenye cheo cha mama. Hawa wanawake ni watu wanafiki kupitiliza. Ikumbukwe wote ni watoto wa waliokuwa vigogo wakubwa wa CCM ambapo moja kwa moja inamaanisha Mange na Maria ni wanufaika wakubwa wa CCM na serikali zake. Kamwe hawawezi wakaichukia CCM kwa moyo wo wote. Ugomvi wao mkubwa na CCM ni wa kimaslahi. Ni suala la muda tu wao kupatana na CCM. Kumbukeni mwaka 2015 jinsi Mange alivyomshambulia mgombea wa CHADEMA hayati EL na kumdhalilisha kadiri alivyoweza.
Kwa tabia zao mbaya walizo nazo wamekosa uhalali wa kimaadili kuongoza umma wa watanzania. Mange na Maria ni watu wanaosapoti kwa 100% mapenzi ya jinsia moja. Kupitia wao tunaona watu wengi wa LGBTQ wakikisapoti CHADEMA. Hii ni kuharibu kabisa taswira ya chama. Mange ni mtu katili aliyevuruga maisha ya watu wengi sana kupitia blackmailing. Kaingilia faragha za watu wengi. Ndoa nyingi zimevunjwa na Mange.
Familia ya Hayati Lemutuz imevurugwa mno na Mange. Siku za mwisho za uhai wa Lemutuz alitaka kutengeneza amani na familia yake ila Mange aliingilia kati na Lemutuz aliishia kutukanwa na mtoto wake wa kumzaa. Siku chache baadae Lemutuz alifariki akiwa kazuiwa na Mange kupatana na familia yake. Viongozi wa CHADEMA wasubiri tu muda ufike Mange aanze kuwavuruga kwa kuingilia faragha zao.
Kwa wale watakaomtii Mange na kuandamana hiyo 29th October wasije kulilaumu jeshi la polisi kwa kipigo kitakatifu watakachotoa. Hawakwenda CCP kusomea upadri. Kwenye syllabus ya upolisi kuna topic ya kudili na nyumbu za CHADEMA.
Punga ni wewe ambaye unaona mavazi ya Mange ni sawaWewe naye punga, sasa kuvaa gauni au kuvaa kichupi kuna uhusiano upi na kuwa na akili ?
Ulimuona wapi, au na wewe unamfatilia?Mange angekuwa ana akili asingekuwa kuwa anaji-post amevaa vichupi
Kwani CHADEMA ikijimaliza kisiasa wewe kinakuuma nini?Inasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu. Nabii feki Lema ambaye ni kiongozi mkubwa CHADEMA alitukanwa mtandaoni na wafuasi wa chama chake baada ya kumkosoa Polepole.
Mange na Maria hawafai kuwa viongozi wa chochote zaidi ya kuwa viongozi wa familia zao kwenye cheo cha mama. Hawa wanawake ni watu wanafiki kupitiliza. Ikumbukwe wote ni watoto wa waliokuwa vigogo wakubwa wa CCM ambapo moja kwa moja inamaanisha Mange na Maria ni wanufaika wakubwa wa CCM na serikali zake. Kamwe hawawezi wakaichukia CCM kwa moyo wo wote. Ugomvi wao mkubwa na CCM ni wa kimaslahi. Ni suala la muda tu wao kupatana na CCM. Kumbukeni mwaka 2015 jinsi Mange alivyomshambulia mgombea wa CHADEMA hayati EL na kumdhalilisha kadiri alivyoweza.
Kwa tabia zao mbaya walizo nazo wamekosa uhalali wa kimaadili kuongoza umma wa watanzania. Mange na Maria ni watu wanaosapoti kwa 100% mapenzi ya jinsia moja. Kupitia wao tunaona watu wengi wa LGBTQ wakikisapoti CHADEMA. Hii ni kuharibu kabisa taswira ya chama. Mange ni mtu katili aliyevuruga maisha ya watu wengi sana kupitia blackmailing. Kaingilia faragha za watu wengi. Ndoa nyingi zimevunjwa na Mange.
Familia ya Hayati Lemutuz imevurugwa mno na Mange. Siku za mwisho za uhai wa Lemutuz alitaka kutengeneza amani na familia yake ila Mange aliingilia kati na Lemutuz aliishia kutukanwa na mtoto wake wa kumzaa. Siku chache baadae Lemutuz alifariki akiwa kazuiwa na Mange kupatana na familia yake. Viongozi wa CHADEMA wasubiri tu muda ufike Mange aanze kuwavuruga kwa kuingilia faragha zao.
Kwa wale watakaomtii Mange na kuandamana hiyo 29th October wasije kulilaumu jeshi la polisi kwa kipigo kitakatifu watakachotoa. Hawakwenda CCP kusomea upadri. Kwenye syllabus ya upolisi kuna topic ya kudili na nyumbu za CHADEMA.
Inasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu. Nabii feki Lema ambaye ni kiongozi mkubwa CHADEMA alitukanwa mtandaoni na wafuasi wa chama chake baada ya kumkosoa Polepole.

Ila kupiga picha ukiwa umevaa mavazi yasiyo rasmi na bonge nyanya, na picha nyingine ukiwa umekumbatiana nalo, nyingine hilo bonge nyanya likijiachia kwenye sofa kama lipo nyumbani kwake; tena kwenye jengo takatifu! ndiyo akili!Mange angekuwa ana akili asingekuwa kuwa anaji-post amevaa vichupi
Inasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu. Nabii feki Lema ambaye ni kiongozi mkubwa CHADEMA alitukanwa mtandaoni na wafuasi wa chama chake baada ya kumkosoa Polepole.
Mange na Maria hawafai kuwa viongozi wa chochote zaidi ya kuwa viongozi wa familia zao kwenye cheo cha mama. Hawa wanawake ni watu wanafiki kupitiliza. Ikumbukwe wote ni watoto wa waliokuwa vigogo wakubwa wa CCM ambapo moja kwa moja inamaanisha Mange na Maria ni wanufaika wakubwa wa CCM na serikali zake. Kamwe hawawezi wakaichukia CCM kwa moyo wo wote. Ugomvi wao mkubwa na CCM ni wa kimaslahi. Ni suala la muda tu wao kupatana na CCM. Kumbukeni mwaka 2015 jinsi Mange alivyomshambulia mgombea wa CHADEMA hayati EL na kumdhalilisha kadiri alivyoweza.
Kwa tabia zao mbaya walizo nazo wamekosa uhalali wa kimaadili kuongoza umma wa watanzania. Mange na Maria ni watu wanaosapoti kwa 100% mapenzi ya jinsia moja. Kupitia wao tunaona watu wengi wa LGBTQ wakikisapoti CHADEMA. Hii ni kuharibu kabisa taswira ya chama. Mange ni mtu katili aliyevuruga maisha ya watu wengi sana kupitia blackmailing. Kaingilia faragha za watu wengi. Ndoa nyingi zimevunjwa na Mange.
Familia ya Hayati Lemutuz imevurugwa mno na Mange. Siku za mwisho za uhai wa Lemutuz alitaka kutengeneza amani na familia yake ila Mange aliingilia kati na Lemutuz aliishia kutukanwa na mtoto wake wa kumzaa. Siku chache baadae Lemutuz alifariki akiwa kazuiwa na Mange kupatana na familia yake. Viongozi wa CHADEMA wasubiri tu muda ufike Mange aanze kuwavuruga kwa kuingilia faragha zao.
Kwa wale watakaomtii Mange na kuandamana hiyo 29th October wasije kulilaumu jeshi la polisi kwa kipigo kitakatifu watakachotoa. Hawakwenda CCP kusomea upadri. Kwenye syllabus ya upolisi kuna topic ya kudili na nyumbu za CHADEMA.
Mange ana akili kubwa kwa kumlinganisha na chura kiziwi, elewa hivyo!Kitendo cha kuandika Mange ana akili kubwa kimemsikitisha sana mzazi wako huko alipo.
Kuvaa vichupi ni utamaduni wa ulaya na marekani anakoishi mange, mie nasema kiakili za kuchambua mambo na kuyatolea ufumbuzi...mange kamuacha mbali chura kiziwi!.Mange angekuwa ana akili asingekuwa kuwa anaji-post amevaa vichupi