GE2025 CHADEMA kukubali kuongozwa na Mange ni kujiamua kujimaliza kisiasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nadhani unajitoa ufahamu tu ila ukweli unajua kuwa CHADEMA haina influence yoyote katika akili za wanainchi zaidi ya kukaa upande wa wanainchi ndio inawapa ushabiki mkubwa dhidi yenu CCM.

Kwanini unalazimisha kuwa kila mtu anaeihoji na kuilaumu serikali ni mwanachama wa CHADEMA as if raia hatuna akili ya kutathimini yanayoendelea.

Mange kimambi na Maria wanapata nguvu ya kushawishi na kuwa na wafuasi wengi miongoni mwa raia kwasababu wanazungumza kwa sauti sehemu ndogo sana ya mambo ya wanainchi yasiyozungumzwa hadharani.

Kwa nyakati hizi hata wasira yule akiachana na CCM akaanza kuongea kukemea uovu wa serikali atapata sapoti kubwa ya wanainchi.

Unakuja kujenga hoja nyepesi kama unyoya ukiamini unatengeneza impact kwenye jamii. Unapoteza muda tu hapa. Unatoa maoni katika platform iliyofungiwa na serikali,nenda huko TBC au Lumumba ukawaambie haya unayosema.

Wewe unahisi CHADEMA ndio inawapa raia maneno ya kusema au akili za upinzani. Mimi binafsi hapa sina kadi ya chama chochote na sijui hata ofisi za vyama zipo wapi ila nachukizwa na mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na ninachotamani ni chama cha mapinduzi kipumzishwe,sheria zibadilishwe katiba iwe na makali kwa washenzi wote wenye tamaa na ufisadi wanaotumia serikali kama kichaka cha kufanyia uharamu wao. Tupate damu mpya ya uongozi bila kutumia nguvu nyingi.
 
Mange angekuwa ana akili asingekuwa kuwa anaji-post amevaa vichupi
Bora mange anapost kavaa nusu utupu inampa faida yeye na maisha yake ya udangaji, wewe hivi unavyopost hapa JF jukwaa la deep thinkers unatarajia kuvuna nini?
 
Maria Sarungi anawatupia tonetone anayookota kutoka Ford Foundation na Open Society Foundations ya Georgw Soros
Siku mkijitambua ninyi ni WaTanganyika mtamuona Mange yupo sahihi.

Mavazi yake yanahusiana nini na anachokifanya?

Nchi zilizoendelea watu wao wana uhuru na mavazi yao wewe uko hapa 21st century kujadili mavazi ya mtu.

Kukosa Elimu na exposure kunasumbua akili yako ama!

Tanganyika comes first!
 
Feminist wa kiume lazima uunge mkono mafemisist wenzako kina Mange.
 

MBONA CCM MMEWEZA KUONGOZWA NA SMIA? AMBAYE NI HOPELESS KABISA.
 
Vivyo wakubali kuburuzwa na wanamtandao siyo?Kuliko wazalendo kuelekezana na kushauriana sio?
 
Ukimsikiliza Mange ana akili sana kuliko machawa wa CCM!!
 
Mange Vs Samia?
Kwa viwango vyote vilivyopo, Mange ni zaidi ya Samia. Labda ulete evidence nyingine. Huna evidence.

Mange - educated, young, bombastic, flamboyant, ana afya nzuri siyo obese

Ushungi - uneducated, obese, anaongea kwa kuhema - etc etc

Acheni uongo
 
Inasikitisha sana, ila ndio ukweli mchungu. vijana wa chadema kwa sasa wanawaamini zaidi Mangi na Poleole kuliko Lema na Heche
 
Imagine kikundi cha wajinga kama wewe mkakabidhiwa nchi?!!
 
Reactions: Tui

Umelewa mataputapu unakuja kuandika eti maadili, utaendelea kuelimishwa taratibu kuhusu maadili.
 
Bora mange anapost kavaa nusu utupu inampa faida yeye na maisha yake ya udangaji, wewe hivi unavyopost hapa JF jukwaa la deep thinkers unatarajia kuvuna nini?
Nimekwisha vuna, nakula pensheni. Ila natoa free consultations kwa vijana juu ya siasa, mitandao ya jamii na uanahrakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…