CHADEMA Kukubali Matokeo ya Uchaguzi wa Kenya Ikiwa Jubilee Ikishindwa ?

CHADEMA Kukubali Matokeo ya Uchaguzi wa Kenya Ikiwa Jubilee Ikishindwa ?

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Chama cha Chadema kupitia mwenyekiti wake Freeman Mbowe na Edward Lowassa walitoa tamko la kuiunga chama tawala cha Jubilee cha Kenya katika uchaguzi mkuu wa Kenya. Je ikiwa chama cha Jubilee kikishindwa ama kikachakachua uchaguzi huo msimamo wa Chadema utakuwa upi. Natoa pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa kutounga mkono upande wowote kwenye uchaguzi mkuu huo wa Kenya.
 
Wanatabia za kuwafundisha watu kususa, hata ule wa zanzibar walimshauri maalim asuse.
 
mind ur own politcs..leave kenyan politics to kenyans
 
Back
Top Bottom