Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Chama cha Chadema kupitia mwenyekiti wake Freeman Mbowe na Edward Lowassa walitoa tamko la kuiunga chama tawala cha Jubilee cha Kenya katika uchaguzi mkuu wa Kenya. Je ikiwa chama cha Jubilee kikishindwa ama kikachakachua uchaguzi huo msimamo wa Chadema utakuwa upi. Natoa pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa kutounga mkono upande wowote kwenye uchaguzi mkuu huo wa Kenya.