Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 73
This is manure talk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama vyombo vya sheria vinaweza kutusaidia ingekuwa afadhali ila ni sawa na kesi ya ngedere kumpelekea nyanyi kwani nyani ni rafiki wa ngedere na hawezi kumnyoshea kidole, kinachotakiwa kama waangalizi wa eu , au, ecu walivyoona kuwa uchaguzi haukuwa wa haki tuwaombe umoja wa kimataifa waunde tume kwenye trustship council itakayofuatilia uesabuji wa matokeo na ukiwakwaji wa haki za binadamu ndipo jk na chama chake kipelekwe uholanzi katika mahakama ya haki za kibinadamu kwanza ccm imetumia nguvu ya dola kama polisi , jeshi kuwatishia wananchi kuwa wakijaribu watakiona cha moto na nilikuwa nikisoma kwenye hutuba ya mwneyekiti wao na halmashauri kuu kilichokaa octoba kilikubaliana na tamko la jeshi na kuwakashifu vyombo vinavyohusika na haki za kibinadamu pale waliposema si vyema serikali na chama kinachotawala kutumia nguvu ya dola kama walivyofanya ssm. Sasa watanzania tusiwe wajinga katika kutazama wala kugundua nyakati bali tuwe wajanja kama nyoka na tuwe werevu na wapole kama hua tuzidi kumwomba mungu ampige jk na amwondoe kama farao na jeshi lake, mungu tumeleta kilio chetu na tunaomba ukampige jk mapigo 49 na chama chake waondoke madarakani na kutupa haki zetu , maana ni aibu kusema baada ya vitu yaani lowasa, ridhiwani na mafisadi wengine wameenda kuchukua maeneo fulani waliopewa wananchi na watu walikesha waliopata shida kukesha wakienda kupewa mahali wameishia kudanganywa kuwa watapewa maeneo mengine na hawajarudishiwa fedha wala chochote, je kwa stail hii watanzania tutafika au itakuwa ile ya kenya walio na maeneo ni wachache kisa mafisadi wameshika kila eneo. Tanzania uamke uwakatae hao mafisadi usoni mwako ardhi iwakatae, mbingi iwakatae, na bahari iwakatae ili warejee kwa mungu na kutubu na kuturudishia vyote vyetu watanzania ninaomba nikiamini na kupokea amenwaupeleke bungeni tu na ccm watajimaliza wenyewe kwa wananchi kwa kutumia wingi wao kuukataa.............na kampeni ya kuwaondoa ccm wote madarakani itakuwa imeaanza.....................
Hii ni hoja yenye mashiko jk kavunja katiba kwa kuiba kura sasa ushahidi mwingine tunataka utoke wapi?
CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,
Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja
yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama
inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya …. (a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja
Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili
yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa
yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais
wa Jamhuri ya Muungano""jAMAA HAFAI KWANZA AMEVUNJA SHERIA KATIKA KUINGIA MADARAKANI NA PILI ANAKIDHLILISHA KITI CHA URAISI SASA HUU NI WAKATI WA UPINZANI WA KWELI NA BINAFSI NAWAUNGA MKONO CHADEMA ENDELEENI MBELE HUYU MKWERE HATUMTAKI.
Mleta hoja ni mufilisi,hana jipya.Fanya kazi udumishe kipato chako achana na ndoto za abunuwasi kwani haitatokea ata siku moja wewe kuwa rais never ever!
Waupeleke bungeni tu na CCM watajimaliza wenyewe kwa wananchi kwa kutumia wingi wao kuukataa.............na kampeni ya kuwaondoa CCM wote madarakani itakuwa imeaanza.....................
Hii ni hoja yenye mashiko JK kavunja katiba kwa kuiba kura sasa ushahidi mwingine tunataka utoke wapi?
Sioni hoja ya msingi hapa. Kikwete kavunja sheria gani wakati wa kuingia madarakani? Na amekidhalilishaje kiti cha urais? Mmmh tuwe makini namna tunavyojenga hoja. Kuleta hoja ambayo haina mnyumbulisho wa evidences inaweza kuonekana kama ni propaganda tu.CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,
Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja
yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama
inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya …. (a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja
Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili
yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa
yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais
wa Jamhuri ya Muungano""jAMAA HAFAI KWANZA AMEVUNJA SHERIA KATIKA KUINGIA MADARAKANI NA PILI ANAKIDHLILISHA KITI CHA URAISI SASA HUU NI WAKATI WA UPINZANI WA KWELI NA BINAFSI NAWAUNGA MKONO CHADEMA ENDELEENI MBELE HUYU MKWERE HATUMTAKI.
Angalia seif anavyokula kwa raha zake. CUF kwisha kazi. Nawashauri CUF watafute viongozi wengine ambao ni wapinzani wa kweli. Seif na wenzake wamewauza wanapigania haki wa CUF. Eti CUF ni chama cha upinzani. Hakuna kitu kama hicho tena. Exhibit hii hapa
CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
JAMAA HAFAI KWANZA AMEVUNJA SHERIA KATIKA KUINGIA MADARAKANI NA PILI ANAKIDHLILISHA KITI CHA URAISI SASA HUU NI WAKATI WA UPINZANI WA KWELI NA BINAFSI NAWAUNGA MKONO CHADEMA ENDELEENI MBELE HUYU MKWERE HATUMTAKI.""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya ….
(a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano"
Waupeleke bungeni tu na CCM watajimaliza wenyewe kwa wananchi kwa kutumia wingi wao kuukataa.............na kampeni ya kuwaondoa CCM wote madarakani itakuwa imeaanza.....................
Hii ni hoja yenye mashiko JK kavunja katiba kwa kuiba kura sasa ushahidi mwingine tunataka utoke wapi?
Tatizo watu wanakariri mno, aliesema siasa sahihi ni mpaka mwagane damu kama kenya ili mkae meza mmoja ni nani? maendeleo yanaletwa kwa namna nyingi wakuu, hata huko ulaya kwenye ustaarabu uliopindukia watu wanafanya siasa kama hizo unazoziona ktk picha hiyo na si usaliti kama mawazo finyi ya wengi humu jf wanfvyo fikiria
Mkuu unakitumia kifungu kwasababu kipo au unatumia kifungu kwasababu unahoja za msingi kukitumia kifungu hicho, ukisems vifungu vitumike kwa utashi wako wa kwani kiliwekwa chanini unanipa mashaka vinginevyo utaonekana kitukoSio Ibara ya 46 bali ni Ibara ya 46A ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. Ni vizuri kifungu hicho kikatumika angalau mara moja hata kama haitawezekana kumwondoa, kwani kiliwekwa cha nini?
This is what sisi wapenda mabadiliko are fighting for now and we have to start somewhere.Ndugu zangu chadema... Tuwe makini na mambo mengine kwani vitu vingine vipo kwenye countries zanye justice hapa tanzania ipo?
Hata lewis makame was once a man with integrity, sasa hivi he is far worse than fr. Sixtus kimaro