Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio matatizo ya kudandia train kwa mbele hayo, hujaelewa hoja wakurupuka kuchangia, ninamashaka sana na upeo wako wa uelewa wa mambo.Mleta hoja ni mufilisi,hana jipya.Fanya kazi udumishe kipato chako achana na ndoto za abunuwasi kwani haitatokea ata siku moja wewe kuwa rais never ever!
Kwani hilo wewe unalitambua leo kaka? Huyo ni uchu tu wa madaraka ndio ulokuwa unamsumbua na mwenzake lipumba hawana cha uchungu wa nchi wala wananchi. wanafiki wakubwa.Kinacho niuzi ni jinsi CUF walivyodanganyika, embu angali Seif kadanganywa na u makamu wa rais huu ni uchu wa madaraka na sio upinzani sas yeye ni mtumishi wa serikali ya CCM lazima aitete serikali na sio wananchi sasa maanake nini? Asinge kubali angebakia kwenye upinzani wana wabunge wa kutosha Zanzibar upinzani halisi ungeanzia bungeni. Sasa hivi yupo kwenye magari ya serikali tuangalie kama atawaona wana CUF au ndio kesha jiunga na CCM kinyemela
Kazana kuchimba mizizi mpaka kieleweke.CHADEMA peleka hoja mjengoni, mwanzo wa mvua ni mawingu. Kuanguka kwa mti ni kungoka kwa mizizi. Mwisho wake uteleweka tuu!