CHADEMA kumshitaki Makonda kwa uvunjifu wa sheria

Makonda ni kibaka, Aliwahi kukwapua I-pad ya mjumbe mwenzie wa Bunge maalum la katiba!
MUSSA ALLAN acha kuchomekea mkuu, hakuiba Ipad hata kidogo ilikuwa ni Smartphone Galaxy S5. Jamaa alipoiona shetani akamtembelea akaikwapua na kuificha na mpaka leo haijarudi. Ila kwa kweli hakudhamiria bali ni shetani tuu alimpitia.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa nami nasema ni kibaka tuu
 
Sera ya chama changu cha zamani kwa sasa ni prof muhongo na DC makonda. I envy you
2020 magufuli atashinda kiulaini sana,hawa jamaa ni hopeless,labda nasari ndo anaonekana anajitambua
 
Makonda anajipendekeza kwa Raisi ili aendelee kuwa kiongozi .
 
MUSSA ALLAN acha kuchomekea mkuu, hakuiba Ipad hata kidogo ilikuwa ni Smartphone Galaxy S5. Jamaa alipoiona shetani akamtembelea akaikwapua na kuificha na mpaka leo haijarudi. Ila kwa kweli hakudhamiria bali ni shetani tuu alimpitia.

Ahahahahahaaaaaaaa kuuuumbeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out

ebu tupe maelezo mazuri kuusu uyu mtu vp pen za wenzake shuleni zilikuwa zina pona?alafu magu aangalie vzuri teuzi zote za kikwete maana ali ya yule mkwele kichwa maji kabusa inawezekana aliyowateuwa wanaakili kama yake......
 
.......ni aibu kuwa na viongozi wa aina ya makonda...
 
Mleteni kuwa mkuu wa Wilaya mojawapo katika mkoa wa Arusha.

Hahahahaha!!! Nitafurahi sana coz machalii tu wa Kitaa wanamkimbiza mbaya otherwise awe anatembea na RPC &Co.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…